Mkuu nina ndugu wazigua aisee ukiendelea usikae nao karibu ama Kijiji kimoja. Utapigwa na vitu vizito hutoamini. Wana wivu mbaya wa kimaendeleo hadi wanaigeuza kuwa husda na chuki. Mungu awaongoze kwa kweli.Kwa hiyo kwa mazingira hayo uchawi na kurogana havikosekani?
Jamaa anashindwa kuelewa kuwa watu hawabakii vile vile milele.Unashangaa Mbona watoto wa marehemu awapati huduma yoyote na wajomba zao wamekuwa matajiri! Kumbe Baba yako alikuwa mtu sio Nyau.
GuDume kama GuDume 😀 Soon nitamuona mzee wa kuzichakata Papuchi Zero IqDogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie.
Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri chakula cha mchana. Hapa kuna bustani hata kumwagia hawezi.
Mimi nguo zangu nanyoosha mwenyewe. Gari sometimes weekend naosha yangu na ya mke wangu. Dogo anacheck mpira au movie.
Nikaona nimwambie dada yake. Kuwa sasa aangalie mdogo wake atafanya shughuli gani maana sasa anaweza pata magonjwa ya uzembe. Akasema akajisomee udereva. Nikanyamaza. Siku 2 anakuja kuwa shem naomba lakhi 400,000 nmepata driving school.
Sikumjibu kitu. Baada ya week nipo room anakuja dada yake kuniambia Ommy anasema kuna kikao twende sebuleni. Nlimtizama na kumuuliza nani katoa kibali cha kuitisha kikao ndani mwangu? Tena kwa kunipa mwaliko mimi mwenye nyumba? Dada yake akaongea ongea nikanyamaza.
Sasa last week nmerudi nmemkuta kakaa sofani na nikamshika kichwani akageuka.. nikamwambia nlidhania ni mke wangu(dada yake)
Kuna siku nikamkuta kwenye friji nikamshika makalio. Akashtuka. Nami alivyogeuka nikashangaa... Nikamwambia. Asiee.... Nlidhani ni Aisha... (Dada yake) Nlimwambia umekaa sana na dada yako mpaka sasa mnafanana. Alikasirika akaja sema kwa dada yake. Dada yake hakuniuliza kitu.
Nlisema moyoni siku hiyo ntamwita aje amshike dada yake miguu. Ajue nimemchoka. Anaota kitambi nyumbani kwangu mwaka wa 2 huu. Anajisahau kabisa.
Nikawa nasema kifuatacho sasa nitamwalika siku moja room aje amshike dada yake miguu nikimchabanga kwa style mpya ya KISHIKA UCHUMBA. Hapo nadhani angechoka kabisa kukaa home
Nimerudi juzi dada yake ananiambia Ommy karudi Tanga. Kaenda salimia wazazi. Nikajua tu zile actions zimefanya kazi.
Nlimvumilia sana mpaka nikaanza kuhisi pengine dada yake kaniwekea madawa niwe bwege. Nliaanza pote uume wangu kabisa. Sasa shwari kabisa hakuna kufuga ujinga.
Zero IQ ameacha mke huko😅😅😅GuDume kama GuDume 😀 Soon nitamuona mzee wa kuzichakata Papuchi Zero Iq
Tulimiss sana purukushani za Gudume humu!
Naona umeshindwa hata kutofautisha mazingira...iv unajua life la mjin ni sawa na kijijin?kwa nnavyomuelewa mtoa mada ni kuwa hapo hana shamba wala bustan ambayo ingemfanya awe bussy..sasa we unatolea mfano wa kijijin ambapo ukikamata nguvu kazi ya vijana watano unavuna mazao ya kula mwaka mzima na zaidi...baba yako alikuwa anaomba waje wakae ila alikuwa anajua namna ya kuwatumia piaLabda sisi kwetu mpaka mzee anaita watu waje kukaa ,sisi hatuna roho ya kutu ..Tunajitambua , hatuna chuki za kishamba ...Maisha ya kawaida ila kama kula chakula kipo ,mashamba yapo na bajeti ya kula ni ndogo ,tuko wachache so mlete hapa.
Tutamuunga na vijana ,sharti asilete malaya maana nyumbani yetu ni salah 5..Chakula tunashare mpaka na majirani na hamna noma.
Ni marufukuu yani unaweza enda kusalimia na hata usilale..hii ya wasambaa hata wasuķuma wanayo sanaSidhani kama kuna Kijana wa Arusha au Kilimanjaro anaweza kwenda kulala nyumba moja ambayo ndani yake Shemeji yake anamkaza Dada yake.
Tangu nizaliwe sijawahi kuona kwetu Kijana kulala nyumbani kwa Shemeji yake
Duuh..mwaka wa 7 huu kwa shemeji na hamna tatizo...
Kuna mdogo wa kike wa wife duu amemaliza chuo kuamka saa Tano dada wa kazi ana watesa sisi hatukai nyumbaniDogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie.
Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri chakula cha mchana. Hapa kuna bustani hata kumwagia hawezi.
Mimi nguo zangu nanyoosha mwenyewe. Gari sometimes weekend naosha yangu na ya mke wangu. Dogo anacheck mpira au movie.
Nikaona nimwambie dada yake. Kuwa sasa aangalie mdogo wake atafanya shughuli gani maana sasa anaweza pata magonjwa ya uzembe. Akasema akajisomee udereva. Nikanyamaza. Siku 2 anakuja kuwa shem naomba lakhi 400,000 nmepata driving school.
Sikumjibu kitu. Baada ya week nipo room anakuja dada yake kuniambia Ommy anasema kuna kikao twende sebuleni. Nlimtizama na kumuuliza nani katoa kibali cha kuitisha kikao ndani mwangu? Tena kwa kunipa mwaliko mimi mwenye nyumba? Dada yake akaongea ongea nikanyamaza.
Sasa last week nmerudi nmemkuta kakaa sofani na nikamshika kichwani akageuka.. nikamwambia nlidhania ni mke wangu(dada yake)
Kuna siku nikamkuta kwenye friji nikamshika makalio. Akashtuka. Nami alivyogeuka nikashangaa... Nikamwambia. Asiee.... Nlidhani ni Aisha... (Dada yake) Nlimwambia umekaa sana na dada yako mpaka sasa mnafanana. Alikasirika akaja sema kwa dada yake. Dada yake hakuniuliza kitu.
Nlisema moyoni siku hiyo ntamwita aje amshike dada yake miguu. Ajue nimemchoka. Anaota kitambi nyumbani kwangu mwaka wa 2 huu. Anajisahau kabisa.
Nikawa nasema kifuatacho sasa nitamwalika siku moja room aje amshike dada yake miguu nikimchabanga kwa style mpya ya KISHIKA UCHUMBA. Hapo nadhani angechoka kabisa kukaa home
Nimerudi juzi dada yake ananiambia Ommy karudi Tanga. Kaenda salimia wazazi. Nikajua tu zile actions zimefanya kazi.
Nlimvumilia sana mpaka nikaanza kuhisi pengine dada yake kaniwekea madawa niwe bwege. Nliaanza pote uume wangu kabisa. Sasa shwari kabisa hakuna kufuga ujinga.
Naomba namba yake, nimsajili jobless pro maxKuna mdogo wa kike wa wife duu amemaliza chuo kuamka saa Tano dada wa kazi ana watesa sisi hatukai nyumbani
Tukifululiza kula kuku ananuna gafla anakua na wivu , ugomvi, CHUKII, makasirikoo
Aiseeee 💔 huyu ndugu ni noma sijawai ona
Ridhiki kama inapatikana basi ,kuna maisha ni ya kawaida .Kama una uhakika wa kule na sehemu ya kukaa msaidie tu.Naona umeshindwa hata kutofautisha mazingira...iv unajua life la mjin ni sawa na kijijin?kwa nnavyomuelewa mtoa mada ni kuwa hapo hana shamba wala bustan ambayo ingemfanya awe bussy..sasa we unatolea mfano wa kijijin ambapo ukikamata nguvu kazi ya vijana watano unavuna mazao ya kula mwaka mzima na zaidi...baba yako alikuwa anaomba waje wakae ila alikuwa anajua namna ya kuwatumia pia