Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

Ni lini utapata akili na kujitambua msee? Ni lini au ni mpaka iwe nini?
Jamaa kaongea la maana sana bro.
Kama ukifungua akili utamuelewa amemaanisha nini.
WATU sio kama hawajielewi ama hawajitambui bali mfumo uliopo kuupinga hakuzai matunda yeyote.
We jitafutie zako tu ugali na familia yako period.
 
Ni lini utapata akili na kujitambua msee? Ni lini au ni mpaka iwe nini?
Watakuja kukuambia, "Tuna amani..Inatosha".

Hakika elimu inayotolewa na serikali ya ccm ni ya kimkakati kwa lengo la kuidumisha ccm madarakani.
 
Vijana wa cku hizi hawaelewi wala kujielewa wapo hovyo mno!
 
Hayo mambo hayabadiliki kirahisi, japo wengi hawapendi kusikia lakini ukweli ni kwamba wakati mwingine mabadiliko nayo ni bahati, kuna siku inawezekana watu aina ye Lee Kuan Yew wanaweza kubahitika kushika mpini mambo yakabadilka kabisa
Kwa faida ya wote
 
We Apollo mbona umeamka na hasira?
Bongo ukipata channel ya maaana piga mishindo tembea mbele
Sasa wewe ndio umeongea eiwaaaah!!
Bongo ni nchi ya kula kwa urefu wa rope yako basi.
Ukifanikisha unatembea mbele.
 
Sawa.kudili na mambo ya msingi tudili nayo vipi?wakati kama kelele kila siku zinapigwa lakini hakuna anayesikia.
Mnataka tudili nayo ki namna gani sasa.maana maneno yameshindwa.
Panga unalo?
Shoka unalo?
 
😒
 
Sawa.kudili na mambo ya msingi tudili nayo vipi?wakati kama kelele kila siku zinapigwa lakini hakuna anayesikia.
Mnataka tudili nayo ki namna gani sasa.maana maneno yameshindwa.
Panga unalo?
Shoka unalo?
Wenzetu wanadiri nayo vipi nimekuwekea mfano hata wingereza , German na hata Kenya pale wanadili vipi? Je tumewahi andamana kudai na kupinga hayo?

Wewe unajua kushika mapanga ama shoka ndo maandamano yenyewe ama vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…