Weka picha wengine hatumfahamuWiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva ambao hatupo nao tena.
Tuanze kutiririka sasaβ¦
Yeah.. waligombana.
Inasemekana walikuwa pamoja, sikumbuki kama ni bar au club.
Steve 2k akaleta fujo na kumkanda bwana ponela, wakagombelezewa na ponela kupelekwa home, kufikia alfajiri hivi steve2k alirudi tena kwa ponela na kwenda kumkanda, ndipo hapo alipochomwa kisu cha moyoni.
Apumzike Kwa Amani.Daaaaah hii story naikumbuka kama imetokea jana yani [emoji26] wakati Steve 2k anafariki nilikuwa dogo tu (class 5) Alikuwa anapenda kuja ilala chaukucha β¦ alikuwa mtu wa stor sana vituko sana yan akawa anapenda na watoto vijana wamama ad wazee
Ilikuwa kila ikifika weekend basi bro Steve 2k lazma aanzishe bonanza ananunua kama n mchele maharage juice biskut mafuta apo madogo tunakipiga asubih ad jion tunapambania kombe [emoji1] apo ye yupo pemben na ma broh wengine wanakula vitu vyao
Siku anafariki nakumbuka ilikuwa weekend hatuendi shule nakumbuka asubuh tunaambiwa Steve 2k kauwawa daaaaaah ilikuwa uzuni sana
Nakumbuka wakati ofis za tff za karume zinafunguliwa kulikuwa na bonanza la usiku asa sisi tim yetu ilikuwa haina Jezi nakumbuka alichangisha hela ya Jezi na ya kukodi haice kutupeleka na kuturudisha karume na akaenda kwa wazaz kutuombea ruhusu turuhusiwe kwenda karumbe kucheza mpira usiku
Rest in peace Bro Steve 2k
Ndugu yangu huyu, upande wa kwa baba, lile jina analolirushaga la Bibi yake jina langu la nyumbani la kiluga Ila silipendi naitika nikiitwa na baba tu, (Bonelle)Sam wa ukweli
[emoji24][emoji24][emoji24]
Ahmada umelewaWimbo wake mmoja wa bongo fleva tafafhali
huyu ni mzma kabisa kakaBest Naso
Haya maisha ukikosa hela unazushiwa hadi kifo πππ ana hadi account YouTube huko anaimba imba apate chochote kituBest Naso