Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

Tuzo inayofuata ni tuzo ya kocha Bora wa kike wa mwaka imekwenda kwa ESTHER CHABURUMA ni kocha mtata wa JKT Queens
 
Tuzo ya kocha Bora wa kiume imekwenda kwa ANTHONY MWINGIREZA kutoka chama Cha riadha ukiona wanariadha kutoka JW wanazidi kuzoa medal huko nje ni huyu mwamba ndie hufanya kazi kubwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240609-222019.jpg
    Screenshot_20240609-222019.jpg
    312.9 KB · Views: 2
Team Bora ya wanawake ngazi ya taifa tuzo imekwenda kwa
Team ya taifa ya wanawake ya cricket
Inaonekana inafanya vizuri sana kimataifa ni ya 4 afrika kwa ubora na duniani ni ya 17
 
Tuzo ya team Bora ya wanaume kwa ngazi ya taifa imekwenda kwa
TAIFA STARS ilifanikiwa kucheza final za Afcon kule ivory coast
Kwa Sasa wako huko na Moroko na mgunda
 
Tuzo ya mwanamichezo Bora wa kiume imekwenda kwa Yusuphu Lucas changarawe nae pia kutoka chama Cha ngumi
 
Back
Top Bottom