Uchaguzi 2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

Uchaguzi 2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

Hah Hah CCM kwa kutafuta ushindi wa mezani hamjambo, kipi kinawatia hofu kupambana ktk kampeni na kisha mpigiwe kura na wananchi.
 
Chadema kila siku makosa Ni Yale Yale halafu mnaishia kulia
Shitambala alitupwa mbeya mjini kwa makosa hayo hayo
Chama kisimuachie mgombea kazi ya kujaza fomu,tukisema amenunuliwa tutakosea?
 
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Morogoro Mjini, Sheila Lukuba, amemteua Abdulazizi Abood kuwa mgombea pekee wa Jimbo hilo kupitia CCM baada ya wagombea wengine wa vyama vya upinzani kukatwa kutokana na makosa mbalimbali yaliyobainika katika ujazaji wa fomu.

C60A80A0-FE84-4F77-ACDE-BBCA8B1D6947.png
 
Ngoja tuone Kilombero na Mikumi.

Morogoro mjini kasoro bahari yule Aboud ni kama Lincoln Sibeko mmiliki wa Horizon Deep kwenye tamthilia ya Isidingo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Yaani ukiona ccm mambo wanayo fanya katika uchaguzi huu inakupa maana halisi ya kupambana na mtu yoyote atakaye jaribu kutikisa kipato chako au kazi, nafasi yako ya uongozi mahali popote.
 
Hivi hiyo ruzuku yenu mlishindwa kuandaa semina elekezi kwa wagombea wote jinsi ya kujaza fomu? Nyio ndio wa kuwapa nchi hii muongoze?
Na wewe kwaakili yako ndogo iliuojaaliwa na mwenyezi mungu unaamini wapinzani wote hao hawajui kuanza fomu ila mgombea wa ccm? Jiombee kudra za mwenyezi Mungu maana utakuwa hujielewi.
 
Back
Top Bottom