Uchaguzi 2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

Uchaguzi 2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

Tayari 1-0 kabla hata game kuanza😂😂😂
Abood kapiga hesabu ya muda na pesa atakazotumia kufanya kampeini, na wagombea wengine wakapiga hesabu yao na bila Shaka common sense imeprevail...pia wamewaokolea wakazi wa morogoro muda na usumbufu..SASA wanaweza kuendelea na shughuli zao za uzalishaji bila mihemuko ya kisiasa..IMEISHA HIYO
 
Morogoro wamejichafua tu. Hapo palikuwa hapana upinzani. CCM mmejichoresha jinsi akili zenu zikivyo viazi.

Mmeacha kuteka na kunyang'anya fomu majimbo yenye upinzani kama Arusha, Kawe, Mbeya, Iringa n.k nyie mnahangaika na Morogoro na Mtama.

Polepole na Bashiru mnatumia viungo gani vya mwili kufikiri???????

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaaa...
Mama Janeth M. kama nakuona vile. Msalimie S. Kibwengo.
 
Hah Hah CCM kwa kutafuta ushindi wa mezani hamjambo, kipi kinawatia hofu kupambana ktk kampeni na kisha mpigiwe kura na wananchi.
Kwahiyo hata kama kweli wamekosea, tume iwaachie tu ili ionekane kuna ushindani.
 
Abood kapiga hesabu ya muda na pesa atakazotumia kufanya kampeini, na wagombea wengine wakapiga hesabu yao na bila Shaka common sense imeprevail...pia wamewaokolea wakazi wa morogoro muda na usumbufu..SASA wanaweza kuendelea na shughuli zao za uzalishaji bila mihemuko ya kisiasa..IMEISHA HIYO
Nimekuelewa bwashee....... Kama mgombea anajua kabisa huwezi kushinda biashara ya mapema ni bora zaidi!
 
Kwahiyo hata kama kweli wamekosea, tume iwaachie tu ili ionekane kuna ushindani.

Wagombea Hawajakosea, tusubiri rufaa kupinga hatua ya Msimamizi wa Uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Morogoro
 
Aibu sana. Mhindi anapita bila kupingw akwenye nchi ya weusi na kuna mijitu inachekelea
Achana na roho ya ubaguzi wewe...Mimi simjui huyo Abood ila napinga Sana watu kuingiza mambo ya kibaguzi kwenye nchi...yetu..yeye Ni mtanzania na ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa...bila kujali rangi yake, kabila lake au dini yake..
Shime Watanzania wenzangu tusibaguane
 
Kwa hiyo vyama vyote hivyo wamekosea kujaza form isipokuwa huyo wa ccm..??
Mimi ni CCM ila haya yanayofanywa duh Yani vyama vyote vya upinzani hakuna anayejuwa kujaza fomu? Aiisee hiki chama Sasa khaa
 
Wafute uchaguzi tujue moja hii ni ufujaji wa pesa kama bunge la katiba wanatumia pesa nyingi kumbe matokeo wanayo tayari
 
Achana na roho ya ubaguzi wewe...Mimi simjui huyo Abood ila napinga Sana watu kuingiza mambo ya kibaguzi kwenye nchi...yetu..yeye Ni mtanzania na ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa...bila kujali rangi yake, kabila lake au dini yake..
Shime Watanzania wenzangu tusibaguane
Na wewe nenda India au Pakistan ukagombee ubunge upite bila kupingwa. Abood unadhani anakuona ww ni sawa na yeye. Kwake wewe ni nyani tu tena ngedere anakutatumia ili azidi kuneemeka.
 
Achana na roho ya ubaguzi wewe...Mimi simjui huyo Abood ila napinga Sana watu kuingiza mambo ya kibaguzi kwenye nchi...yetu..yeye Ni mtanzania na ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa...bila kujali rangi yake, kabila lake au dini yake..
Shime Watanzania wenzangu tusibaguane
Siyo ubaguzi, matatizo ya wananchi huko vijijini huyo mhindi anayajua,kagombea kulinda biashara zake tu, Mungu ndo kutenga kila bara na watu wake.
 
Siyo ubaguzi, matatizo ya wananchi huko vijijini huyo mhindi anayajua,kagombea kulinda biashara zake tu, Mungu ndo kutenga kila bara na watu wake.

Kutawala maskini na wajinga ni raha sana, jamaa huwa anawapelekea magari kwenye misiba tu kwisha habari!!
 
Back
Top Bottom