fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Huyo sio muhindi ni mtanzanua mwenye asili ya kiarabuAibu sana. Mhindi anapita bila kupingw akwenye nchi ya weusi na kuna mijitu inachekelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio muhindi ni mtanzanua mwenye asili ya kiarabuAibu sana. Mhindi anapita bila kupingw akwenye nchi ya weusi na kuna mijitu inachekelea
Nawe unaamini kabisa wagombea wa Chadema, Chauma na Act - Wazalendo wote hawajui kujaza fomu!!??Hivi hiyo ruzuku yenu mlishindwa kuandaa semina elekezi kwa wagombea wote jinsi ya kujaza fomu? Nyio ndio wa kuwapa nchi hii muongoze?
Inakuwaje itangazwe mtu amepita bila kupingwa ilihali kuna wagombea wamechukuwa fomu na kurudisha?
Inakuwaje itangazwe mtu amepita bila kupingwa ilihali kuna wagombea wamechukuwa fomu na kurudisha?
Hata Nyerere na Mwinyi tuliwapigia kura za ndio au hapana ingawa walikuwa wagombea pekee.
Hakuna uchaguzi huru nchi hii bila tume huru kwanza.
Msimamizi wa uchaguzi jimbo LA morogoro mjini,sheila lukuba amemteua mgombea abdulaziz abood kupitia ccm kuwa mgombea ubunge pekee jimbo hilo,baada ya kuwakata wagombea wa vyama vingine kutokana na makosa mbalbali ya ukazaji fomu waliokatwa ni kutoka vyama vya CHAUMA,ACT,CUF ,CHADEMA NK
Msimamizi wa uchaguzi aache masihara kamanda wetu na jeshi lake ni waelewa, fomu hata kama zimekosewa zinaweza kujazwa upya hapo hapo ofisini.
Mgombea unaweza kwenda na fomu blank/ isiyojazwa mkakaa na Msimamizi ikajazwa vizuri na kuwakilishwa itakuwa hicho kinachoitwa 'imekosewa'!

Inavyoelekewa hauruhusiwi kurudisha kabla ya leo.Kuna wakati baadhi ya wagombea wa CHADEMA wanaweza kuwa wamepokea fedha kuuza! Mtu umechukua fomu tangu wiki jana unarudisha leo saa saba mchana!
Hawa ambao wameshindwa kurudisha fomu waangaliwe kwa jicho la tatu, inaweza kuwa ni namna nyingine ya kuunga juhudi.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Utawala wa sheria hamna kabisa!! Tunakwenda kama mabata!!hii nchi imeoza hii
Hela za hao unaowanunia ndizo zinazo kulisha. akili yao ya kutengeza mfumo wa mtandao ndio unayoitumia-hahahaahhhAibu sana. Mhindi anapita bila kupingw akwenye nchi ya weusi na kuna mijitu inachekelea
Mchaga na pesa au?!Kuna wakati baadhi ya wagombea wa CHADEMA wanaweza kuwa wamepokea fedha kuuza! Mtu umechukua fomu tangu wiki jana unarudisha leo saa saba mchana!
Hawa ambao wameshindwa kurudisha fomu waangaliwe kwa jicho la tatu, inaweza kuwa ni namna nyingine ya kuunga juhudi.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app