Abood kapiga hesabu ya muda na pesa atakazotumia kufanya kampeini, na wagombea wengine wakapiga hesabu yao na bila Shaka common sense imeprevail...pia wamewaokolea wakazi wa morogoro muda na usumbufu..SASA wanaweza kuendelea na shughuli zao za uzalishaji bila mihemuko ya kisiasa..IMEISHA HIYOTayari 1-0 kabla hata game kuanza๐๐๐
Kwahiyo hata kama kweli wamekosea, tume iwaachie tu ili ionekane kuna ushindani.Hah Hah CCM kwa kutafuta ushindi wa mezani hamjambo, kipi kinawatia hofu kupambana ktk kampeni na kisha mpigiwe kura na wananchi.
Nimekuelewa bwashee....... Kama mgombea anajua kabisa huwezi kushinda biashara ya mapema ni bora zaidi!Abood kapiga hesabu ya muda na pesa atakazotumia kufanya kampeini, na wagombea wengine wakapiga hesabu yao na bila Shaka common sense imeprevail...pia wamewaokolea wakazi wa morogoro muda na usumbufu..SASA wanaweza kuendelea na shughuli zao za uzalishaji bila mihemuko ya kisiasa..IMEISHA HIYO
Kwahiyo hata kama kweli wamekosea, tume iwaachie tu ili ionekane kuna ushindani.
Ukiangalia kwa makini ujinga wa Morogoro, Ruangwa na Mtama hautofautiani sana!Mchaga na pesa au?!
Achana na roho ya ubaguzi wewe...Mimi simjui huyo Abood ila napinga Sana watu kuingiza mambo ya kibaguzi kwenye nchi...yetu..yeye Ni mtanzania na ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa...bila kujali rangi yake, kabila lake au dini yake..Aibu sana. Mhindi anapita bila kupingw akwenye nchi ya weusi na kuna mijitu inachekelea
Labda umma wa kulia chipsSi muda mrefu umma wa watanzania utajua ufanye nini
Thubutu, sio wakazi wa morogoro unaowajua.Natarajia upinzani Morogoro kuingia "barabarani" mda wowote kuanzia sasa.
Huyu dada alikuwa mhasibu kinondoni manispaa nSheila Lukuba amefanya vitu vyake
Mimi ni CCM ila haya yanayofanywa duh Yani vyama vyote vya upinzani hakuna anayejuwa kujaza fomu? Aiisee hiki chama Sasa khaaKwa hiyo vyama vyote hivyo wamekosea kujaza form isipokuwa huyo wa ccm..??
Hakuna chochote umma utakifanya shida ya watanzania ni waoga na hyo wanasiasia wanalichukulia Kama fursa kufanya au kuamua watakayoSi muda mrefu umma wa watanzania utajua ufanye nini
Na wewe nenda India au Pakistan ukagombee ubunge upite bila kupingwa. Abood unadhani anakuona ww ni sawa na yeye. Kwake wewe ni nyani tu tena ngedere anakutatumia ili azidi kuneemeka.Achana na roho ya ubaguzi wewe...Mimi simjui huyo Abood ila napinga Sana watu kuingiza mambo ya kibaguzi kwenye nchi...yetu..yeye Ni mtanzania na ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa...bila kujali rangi yake, kabila lake au dini yake..
Shime Watanzania wenzangu tusibaguane
Siyo ubaguzi, matatizo ya wananchi huko vijijini huyo mhindi anayajua,kagombea kulinda biashara zake tu, Mungu ndo kutenga kila bara na watu wake.Achana na roho ya ubaguzi wewe...Mimi simjui huyo Abood ila napinga Sana watu kuingiza mambo ya kibaguzi kwenye nchi...yetu..yeye Ni mtanzania na ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa...bila kujali rangi yake, kabila lake au dini yake..
Shime Watanzania wenzangu tusibaguane
Na wewe nenda India au Pakistan ukagombee ubunge upite bila kupingwa. Abood unadhani anakuona ww ni sawa na yeye. Kwake wewe ni nyani tu tena ngedere anakutatumia ili azidi kuneemeka.
Siyo ubaguzi, matatizo ya wananchi huko vijijini huyo mhindi anayajua,kagombea kulinda biashara zake tu, Mungu ndo kutenga kila bara na watu wake.