Uchaguzi 2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

Wagombea Hawajakosea, tusubiri rufaa kupinga hatua ya Msimamizi wa Uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Morogoro
Una uhakika gani kwamba hawajakosea. Kwahiyo msimamizi wa uchaguzi ni mjinga
 
Kutawala maskini na wajinga ni raha sana, jamaa huwa anawapelekea magari kwenye misiba tu kwisha habari!!
kuna watu tena wasomi wazuri tu lkn wanaona tukio la Morogoro kuwa likosawa lkn huyo ofisa wa serikali ni mtuhumiwa bila chenga.
 
Aibu sana. Mhindi anapita bila kupingw akwenye nchi ya weusi na kuna mijitu inachekelea
No No No , Issue hapa sio uhindi,
Issue hapa ni Uccm
Let au be clear Brothers.
Hii nchi imerogwa.
CCM wameifanya mali yao, wanafanya watakavyo, kwa kuwa wenyewe tume lala mno.
Hata kwengine CCM hufanya hivyi hivyo ,
Mfano chaguzi za Mrudio kule Singida ,na kwengineko.
Tatizo
NEC niwkala wa CCM,
kuisaidia kushinda uchaguzi, hili ndilo linalojitokeza
 
Her si wangeikataa Fomu Basi!
 
wagombea wa upinzani Wote wamekosea kuja fomu. Kazi ipo.
 
Kwa hiyo vyama vyote hivyo wamekosea kujaza form isipokuwa huyo wa ccm..??
Au Abood alipewa fomu ambayo iko tofauti na zile za wenzake? Inaonekana hizo fomu zillikuwa na 'maswali ' magumu kama mtihani.

Vv
 
Tumuogopeni MwenyeEnzi Mungu jamani !

Mungu anapendezwa na haki!
 
Siyo ubaguzi, matatizo ya wananchi huko vijijini huyo mhindi anayajua,kagombea kulinda biashara zake tu, Mungu ndo kutenga kila bara na watu wake.
Amechaguliwa na watanzania wenzako kushindania hiyo nafasi wewe kwanini umbague..
 
Amechaguliwa na watanzania wenzako kushindania hiyo nafasi wewe kwanini umbague..
hao unaowaona Kuwa ni watanzania wenzangu umesahau Kuwa hao Ndio wajumbe wanaosifika Kwa rushwa?
 
ila hakika tuna safari ndefu sn kwakweli mtu aliyejfanya kuomba abinafsishiwe kiwanda cha maturubai Bora ya canvas Afrika nzima,kiwanda cha moproco,
tuna safari ndefu Sana Kama nchi ikiwa aliyeharibu ajira za Wana morohoro karibia 2000 kwa kuua kiwanda Bora Afrika Cha maturubai canvas, kiwanda cha mafuta ya kula moproko na kiwanda cha sabuni Cha komoa kisa katoa gari moja la kuzikia,hakika hili ni bara la Giza kanyaga twende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…