Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Kura za majimbo yapi hizo!!??
 
Wakuu, nafatilia KWA karibu uchaguzi Uganda Kama ndugu mseven anachakazwa vibaya,ila all at all uganga Kuna vitu wako mbele yetu, angalau kidogo tahasisi zipo imara,
Mh mseven anaenda pumzika ila rais mpya tafadhali usimbuguzi, mpe stahiki sahihi

Kwa nchi za kiafrica ambazo hakuna demokrasia si rahisi mpinzani kutangazwa hata akishinda lazima Electoral commission wachakachue matokeo na wampe favor mtawala.
 
Hamta amini kitakacho tokea [emoji23][emoji23][emoji23]
Siasa za afrika zinajulikana
Subirini asilimia 99

Ova
 
Wakuu, nafatilia KWA karibu uchaguzi Uganda Kama ndugu mseven anachakazwa vibaya,ila all at all uganga Kuna vitu wako mbele yetu, angalau kidogo tahasisi zipo imara,
Mh mseven anaenda pumzika ila rais mpya tafadhali usimbuguzi, mpe stahiki sahihi
Sio
Mi5tena
 
Hakuna watu wamechoka wanataka viongozi wapya hata Kenya ilikuwa hivyo, Misri, Sudan, Tunisia, Zambia, ........ na kwetu iko siku itakuwa hivyo maana hii ni lazima. Ukitaka kulazimisha kama China au N Korea inabidi upige marufuku mpaka dini!! kitu ambacho ni kigumu kwa Africa na utamaduni wetu. Nyerere aliona mbali sana lakini naona viongozi wetu hawana upeo mkubwa vile.
 
Kwa nchi za kiafrica ambazo hakuna demokrasia si rahisi mpinzani kutangazwa hata akishinda lazima Electoral commission wachakachue matokeo na wampe favor mtawala.
Mkuu no way matokeo ya kila tuo yapo wazi ,tume ya uchaguzi Uganda niwapongeze, jamaa anambuluza Msevini sio KWA viwango hivi,but alishakubali hachia madaraka vinginevyo tegemea kua na marais wawili wa uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…