Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Ni kweli Mkuu, nchi yetu ina makando kando Mengi, mtu anasema kabisa waziii siwaletei maendeleo sababu hamkunichagua...labda ndio maana wengine bado wako resentful

Mkuu embu fafanua sentensi number two, kipi kilifanyika juu ya mwendazake please?
Sijui kilichofanyika kwa uhakika ila kuna hisia hasi mtaani, ambazo zinachagizwa na hizi kejeli za viongozi kwa mwendazake….. hii inafanya wengi waamini hisia zao kuwa mpendwa wao kuna kitu mbaya alifanywa.
 
Uchaguzi ujao Kanda ya ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais​

Huku ni kukosa akili...kwa hio kikwete na yeye alichaguliwa na kanda ya ziwa,,, wanawake bana 😁😁 sijui mnawaza kutumia nini...

Akishapitishwa na chama tawala ni upige kura usipige utajua mwenyewe matokeo yanakuwa mezani
ni mwendo wa kukamilisha ratiba au sio.
 
Sijui kilichofanyika kwa uhakika ila kuna hisia hasi mtaani, ambazo zinachagizwa na hizi kejeli za viongozi kwa mwendazake….. hii inafanya wengi waamini hisia zao kuwa mpendwa wao kuna kitu mbaya alifanywa.

Asante mkuu...
 
Wewe usiyejua hata kichwa cha habari kinahusu nini, si upite kwani lazima kila thread uchangie na kuonyesha upumbavu wako??? bora ungekua hata mtu wa kuuliza..unaandika mashudu kwa kutoelewa kwako...embu chukua time, wacha watu wadiscuss , nenda thread nyingine, tuondolee shombo hapa! 😡 😡 😡 😡 😡
Hujielewi...yote hii ni kukosa hela ya kula hadi unawaza kura
 
Wanawake wajuaji much know mtaendelea kuachwa daily kwa Upumbavu kama huu badala ufanye Kaz kutwa umbea tu
Anaona kama kaficha ID kumbe tukimuamulia ni chapu tu...ila huyo dada ni jobless hana maisha
 
Sawa Mkuu lakin msitegemee kuandika Ujinga et Tz Rais anatokana na kura za wasukuma Ni negativity na unyumbu ndo unawafanya kuandika Ujinga mainly nyie girls
Inawezekana hata kanda ya ziwa hujawahi fika. Fika mara, Geita , kagera, simiyu, katavi, mwanza, Shinyanga , tabora, Kigoma, Rukwa, Njoo malizia Singida na dodoma ni wale wale utaelewa kinachozungumziwa kuhusu Kura na uchaguzi mkuu 2025.
 
Sawa Mkuu lakin msitegemee kuandika Ujinga et Tz Rais anatokana na kura za wasukuma Ni negativity na unyumbu ndo unawafanya kuandika Ujinga mainly nyie girls
Mnhhh Kaazi kweli kweli...hivi kwa nini ni lazima muonyeshe ujinga wenu humu?! kama Rais hatokani na wasukuma andika bila kumtukana Rebeca utamuweka aliyemuacha..hahahah si muwe wasomaji tuuu???????... mbona wengine wameandika vizuri tu kila mtu na upande wake??? hivi mtajifunza lini?
 
Anaona kama kaficha ID kumbe tukimuamulia ni chapu tu...ila huyo dada ni jobless hana maisha
hahaaaaaaaaaa eti mkiamulia chapu tuu... si muamue kinachowazuia nyie mazuzu ni nini?!
 
Hello great thinkers...

Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.

Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.

Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)

Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...

Kwa nini tusifanye kama Marekani?

Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..

Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...

Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..

Fairness ndicho tunachokitaka...
Nafikiri ungesema wasukuma ungeeleweka, maana ukisema kanda ya ziwa kuna Mara na Kagera hakuna huo upumbavu na ushamba wa wasukuma.

Kwanza hata hao wasukuma kama kina Dialo hawataki hata kumsikia dikteta mwendakuzimu.
 
Kwenye kundi la wajinga na Dialo yupo. Trust me
 
Back
Top Bottom