Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

Sema waislamu wakorofi tu

Uislamu,dini ya kiyahudi na uislamu chanzo cha dini zote hizo ni uyahudi

Ibrahim alikuwa myahudi akazaa watoto wawili wayahudi ambao ni Isaka na Ishmael

Isaka mtoto wa mke mkubwa Sara ndie baba wa Ukristo kupitia uzao wake wa Yesu Myahudi wakati Ishmael ni mtoto wa nyumba ndogo au mchepuko wa Ibrahim ambaye pia ni Myahudi!!!

Mungu aliwabariki watoto wote Yule wa Nyumba kubwa alipewa baraka nyingi na wa mchepiuko akapewa na Mungu mafuta na gesi

Sababu Mungu alijua huyo mtoto.kajikuta tu kuzaliwa Mungu hakumwita mwanaharamu kama waislamu swala tano wakishamaliza kuzalisha hujitia oh yule mwanaharamu!!
Uislamu umetokana na myahudi Ishmael

Waislamu wanapotukana wayahudi binafsi hata huwa siwaelewi kabisa

Sababu Ibrahim alikuwa Myahudi na huyo Ishmael au Ismail alikuwa myahudi!!
Wayahudi ndio wanatawala dunia kuanzia kiuchumi kivita, kibiashara na kidini.Dini kubwa tulizonazo dini ya kiyahudi,ya Kikristo na kiislamu zote zimetokana na wayahudi .Zote zinatokana na uzao wa myahudi Ibrahim!! Wakristo tunawaheshimu wayahudi japo wengi sio wakristolakini tunawakubali na kuwaheshimu kama ndugu sababu dini ya Kikristo tuliyonayo ilianzishwa na myahudi Mwenzao Yesu Kristo ,Lakini waislamu kutwa mitusi kutukana wayahudi hawana adabu kwa wayahudi wakati Ishmael au Ismail alikuwa myahudi ambaye ndie baba wa waarabu wote akiwemo Mohamed!! Uislamu umetokana na kizazi cha wayahudi
 
Alikuwa analilia Mungu katika nafsi ya kwanza yaani Baba!
'mungu wangu' maana yake nini!?...ikiwa yeye mungu anamlilia mungu gani Tena!?..yeye anakua mungu mwana,mungu mkuu na mtume wa mungu(sikutumwa Ila kwa kondoo waliopotea wa Israel')
 
Watu tuna tabu rohoni, vichwani na mioyoni.

Yani mtu anaandika yeye anavyoamini na kudhania alafu kuna watu wanakuja kushabikia kama jamaa sasa ndio kapatia.

Kwa nini isifike point tukabaliane kuwa hakuna hajuaye chochote kama ni cha kweli kilicho tangulizwa kabla yetu. Hao viongozi na waandishi wenu walishikwa kifikra na kuaminishwa then wakaja kuwaaminisha.

Then tuangalie ni jinsi gani hizi itikadi zilivyotugawanya, kama wangekuwa ni watu wa baba mmoja kwa nini wasiungane watufanye wa baba mmoja, so unakuja kutambua hizi itikadi na dini zetu zimejengwa katika misingi ya chuki kumaanisha yule asieamini kama wewe hana haki.

Leo hii unaambiwa eti asieamini kama wewe yeye ni batili,
Sasa na wewe unajenga chuki na ushabiki juu ya asieamini kama wewe.
 
Uislamu ni dini pekee ya Manabii kuanzia Adam(peace be Upon him )mpaka wa mwisho Mtume Muhammad (SwallaAllahu'aleyhi wa salaam)na Ibrahim (peace be Upon him) haikuwa na dini ya uyahudi bali my Muislamu pure kabisa .

Maghayo Championship
Uislamu umeanzishwa na Vatican featuring Muhammad and creating a god called Allah.
 
Yesu anakuwa je Mungu Sasa mkuu? Hebu nielimishe mm na baadhi ya watu

Mkuu huyu Heriel amesimulia tu na hajajenga hoja yoyote ya msingi.

Hana rejea yoyote ya msingi zaidi ya masimulizi.

Jamaa ni hodari kuandika na mimi ni mvivu kuandika ningeweza kumpa vyanzo vya dini hizi 2.

Kimsingi Ukristo na Uislam wote ni watoto wa Ibrahim.
1. Ukristo umeanzia kwa Sarah akiwa ni mke mkubwa wa Ibrahim...tokea kwa Isaka

2. Uislam umetikana na Hijiri/Hajira
Huyu alikuwa kijakazi wa Sarah mke wa Ibrahim, Sarah alipoona hazai na siku zinaenda na amekoma kuona siku zake, alimruhusu mume wake Ibrahimu kuzaa na Hijiri akazaliwa Ishmael...uzae wake ndio haswa chimbuko la Uislam.

Note; Ibrahim hakuwa Myahudi bali ni babu wa wayahudi.
Ukristu kama imani umeanzia baada ya Kuondoka kwa Yesu na Biblia inatuambia kwa mara ya kwanza wafuasi wa Yesu waliitwa Wakristu katika mji wa Antiokia.(Matendo ya mitume)
 
N
Ukristu kama imani umeanzia baada ya Kuondoka kwa Yesu na Biblia inatuambia kwa mara ya kwanza wafuasi wa Yesu waliitwa Wakristu katika mji wa Antiokia.(Matendo ya mitume)
inaongelea chimbuko la vizazi ambavyo mwishowe ukristo ulikuja kutoa au ambao walikuja kumzaa Yesu ambaye ni chimbuko au chanzo cha Ukristo.
Hayo yote usemayo pia ni kweli.

Kabla ya kuitwa Wakristo waliiitwa ( WATU WA NJIA ILE)
 
First born ni first born tu .we are first in all and we shall be forever.
 
Mungu anapenda diversity ijapokuwa kuna watu sijui wanaongozwa na nini wanalazimisha kuwa na imani moja
♦️ Hata wale mapacha wa kufanana (identical twins) kawàumba kila mmoja na tofauti yake , alikuwa na uwezo wa kuumba watu wote dunia nzima tufanane kama maharagwe

♦️ Katuumba rangi tofauti , wazungu, waafrika wachina, alikuwa na uwezo wa kutuumba race moja wote

♦️Katupa lugha tofauti tofauti ili tuwasiliane naye na tuwasiliane sisi kwa sisi. Kitendo cha kumuomba Mungu kupitia lugha ya jamii nyingine wa bara jingine uliyoikariri ni kumwambia Mungu kuwa hasikii na wala haelewi Lugha yako ya asili, na kwa u andazi wako anahamishia baraka kwenye lile taifa unalotumia lugha yake kuomba
 
Yakobo na Yusuph hawa sio brothers bali ni baba na mwanaye.(Next time msizungumze vitu sensitive wakati wa kusubiri game ya UEFA).

Pengine ulitaka kusema Isaka na Ishmael.Hawa kweli walikuwa watoto wa baba mmoja ingawa mmoja alikuwa ni mtoto wa mke halali na mwingine mtoto wa kijakazi.

Kimsingi ahadi zote ambazo Mungu alimpa Abraham zilikuwa juu ya uzao wake kupitia kwa Isaka lakini ndugu zetu walipokuja baadaye wakatwist kwamba ahadi zote zile zilikuwa ni kwa Ishmael.

Biblia yote kimsingi inazungumzia uzao wa Isaka kisha Yakobo mwanawe. Baada ya hapo story yote ya Israel inatoka na watoto wa Yakobo ambaye alibadilishwa jina na kuitwa ISRAEL na Mungu (Hence the nation ISRAEL)

Kimsingi both can't be true. So kama tukitaka kupata ukweli tutatumia ushahidi wa kihistoria na pengine hata kisayansi kuujua ukweli ni upi. But,the is no need kwa sababu majibu yalishatafutwa na ukweli ushajulikana.


The bible has never been Wrong and hence everything written in there is an ABSOLUTE TRUTH.
Mwanzo ni Abrahamic Religion & then ikaja Christianity Religion.

Safi mkuu, I got you are point.

Nafikiri haya ni mambo ya kiimani zaidi, so tusitumie nguvu kubwa sana kueleweshana vitu vya kiimani ambavyo mpaka leo vimevuruga Dunia vibaya mno Kwa marefu yake.

Deep knowledge inahitajika sana with biblical phrase or Kuruani phrase.
Kuliko mkabishana Kwa blah- blah kama vile chit-chat.

But, Good comment Pal'.
 
Unfortunately sio Type ya mtu wa kumeza sumu sumu kama hizi, oyaa watu wangu wa macca na madina oyaa wale wa Vatican na st Peters basilica wapi watu wangu wa Birmingham mpaka Buckingham achiachiachiii wap Germany na Martin Luther king TENDENI WEMA KADRI MNAVYOWEZA Historia imevurugwa San vitu sahihi ni vichache mnoo watu wabaya wanafanya kila mbinu kuhakikisha tunalishwa matangopori kadri iwezekanavyo..
 
Uislamu haujaletwa na Muhammad S. A. W, Bali yeye ni mtume wa mwisho.
Maana yake uislam ulikuwepo na mitume wengine walikuwepo kabla yake
Yaani mitume wooote wawe wayahudi, walioishi tamaduni za dini ya kiyahudi halafu Yesu myahudi kashafunga orodha ya manabii kwa kifo chake aibuke mjanja mjanja fulani toka uarabuni aseme yeye ni nabii wa mwisho?😀😀😀😀
 
Hakuna shida yoyote kwanza ukisoma hadithi ya Adam na Eva nguo ni MATOKEO YA KUFANYA dhambi. Mungu alituumba na utukufu wake tukiwa uchi na ndio maana hata tukifa tunarudi uchi. Hivi uliwahi kujua kuwa ngombe, mbuzi,kuku nk. Hao wote wapo uchi na wanapendeza kwa utukufu wa Mungu? Nguo ni dhambi na wala usiziabudu sana
Nakupongeza Sana rafiki umesema vema napenda mtu anaeeleza vividly najua ni matokeo mazuri ya elimu uliyoipata katika dini yako na huo ndio utofaut wa dini yako na zingine Endelea kutenda mema bila kuchoka rafiki
 
Mkuu huyu Heriel amesimulia tu na hajajenga hoja yoyote ya msingi.

Hana rejea yoyote ya msingi zaidi ya masimulizi.

Jamaa ni hodari kuandika na mimi ni mvivu kuandika ningeweza kumpa vyanzo vya dini hizi 2.

Kimsingi Ukristo na Uislam wote ni watoto wa Ibrahim.
1. Ukristo umeanzia kwa Sarah akiwa ni mke mkubwa wa Ibrahim...tokea kwa Isaka

2. Uislam umetikana na Hijiri/Hajira
Huyu alikuwa kijakazi wa Sarah mke wa Ibrahim, Sarah alipoona hazai na siku zinaenda na amekoma kuona siku zake, alimruhusu mume wake Ibrahimu kuzaa na Hijiri akazaliwa Ishmael...uzae wake ndio haswa chimbuko la Uislam.

Note; Ibrahim hakuwa Myahudi bali ni babu wa wayahudi.
Hii habari ipo kwenye vitabu vyote, ila cha yule jamaa aliyesema kimeteremshwa , habari imechakachuliwa kwa kubadilisha MAIN CHARACTER, Wakati kwenye biblia iliyokuwepo miaka mingi kabla ya hicho kidhaniwacho kiliteremshwa, Stelingi wa habari kwenye biblia na aliyetaka kuchinjwa ni mtoto wa ahadi wa sara na ibrahim aitwaye Isaka. Lakini wakuteremshwa wakapindua matokeo eti kwao aliyetaka kuchinjwa ni ishmael mtoto wa nje ya ndoa
 
Uelewa wako wa sababu iliyopelekea Yesu kuja duniani na matokeo ya kufa na kufufuka kwake ni mdogo sana, completely negligible.

Ushauri wangu ni aidha uyatoe maisha yako kwa Yesu Kristo au uende ukajipatie mabikira 72 kwa Allah.
Wivu, chuki na roho mbaya iliyokujaa ktk moyo dhidi ya uislamu, na ndio maana bila ya hata muna sema eti (maria mama wa mungu) mungu wenu ana2 mama, baba mlezi , bibi, babu napia alikufa
 
Umepuyanga puyanga....jikite tu kwenye mapenzi huku akili hiyo huna. Umejivua kabisa heshima kushadidia vitu ambavyo huna ilimu navyo. Wewe ni maamuma. Kafir mkubwa.
 
Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.

The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.

This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
 
Back
Top Bottom