Mpwimbe
JF-Expert Member
- Oct 13, 2023
- 455
- 818
Kama pesa za kununua umeme Etjiopoa zipo, kwanini za kuboresha hayo mbwawa ya Nyimba ya Mungu, Hale na Pangani hakuna???1. Mabwawa ya kaskazini (nyumba ya Mungu n.k) unafahamu yanazalisha megawatts ngapi na kuna upungufu wa megawatts ngapi?
Mikoa ya kaskazini ni miongoni mwa mikoa ambayo ina upungufu wa umeme na ndiyo maana serikali inataka kulimaliza hilo kwa kuingiza umeme wa bei rahisi kutoka inje!.
2 &3 Hswali la pili na la tatu majibu yake yapo kwenye mada naomba ukasome nimejibu!