Ndo vileUnadhani hizo scenarios hazitumiki nchi nzima?
Ni vile hatuna utaalamu wa kugundua.
Ila suala la huduma ya afya tanzania ni bahati nasibu sana. Tunafanyiwa mengi tusiyoyajua.
Infact sioni kosa la huyo dada, incharge alitakiwa awe na taarifa na aondoe hivyo vifaa ila mpaka sasa vipo.
Demu wangu si ndo ww umejileta.. njoo MremboUna demu kwani
Bangi hizDemu wangu si ndo ww umejileta.. njoo Mrembo
Sema kama unataka nikupatie mtoto wa 3Bangi hiz
Dogo umefel form2 so unakuja kutoa stress huku jfSema kama unataka nikupatie mtoto wa 3
Si tulikuwa darasa moja na tulifeli wote we dogo..au sioDogo umefel form2 so unakuja kutoa stress huku jf
We hujafel sema hukufanya pepa kabisaSi tulikuwa darasa moja na tulifeli wote we dogo..au sio
Ni aibuHuko Supitalini kuna madudu mengi , acheni tu
Ndo ushangaeVijana wanapoteza ajira kwenye nchi ngumu hii.
Kila kitu kina incharge nadhani ingekua sahihi kutoa taarifa kwa incharge lakini pia sio sahihi kurekodi kwa siri mazungumzo yako na mfanyakazi mwenzako kisha kuyawela publicHaya unaweza tu ukayasema KAMA VIFAA VILE HAVIJAMUUA MTU WA KARIBU SANA NA WEWE..!! Imejini, vimuuwe mkeo/mumeo/mama yako au baba yako etc..!! Vile vifaa vikitokea kumuuwa wa karibu yako, HUO USENGEFU ULIOUONA HUTAUONA WALLAH NAKUAMBIA..!!
Hapo ndo tunapochemka..!! Hivi unajua hata polisi wana namna ya kupokea taarifa kwa siri?? Hivi unadhani hadi yanafika hapo, WOTE HAPO HOSPITALI HAWAJUI KUWA MAKITU YAO YAMEEKSIPAYA???Kila kitu kina incharge nadhani ingekua sahihi kutoa taarifa kwa incharge lakini pia sio sahihi kurekodi kwa siri mazungumzo yako na mfanyakazi mwenzako kisha kuyawela public
Kiongozi wa hovyo πππππNasubiri tamko la kiongozi wa hovyo
Tungejuaje Si miaka yote ni siri, mengine Mungu inabidi ayaruhusu yatokee! Ili msilaumu kwa kusema ni mapenzi yake kumbe ni ezembe wa binadamKila kitu kina incharge nadhani ingekua sahihi kutoa taarifa kwa incharge lakini pia sio sahihi kurekodi kwa siri mazungumzo yako na mfanyakazi mwenzako kisha kuyawela public
Kweli kabisaHapo ndo tunapochemka..!! Hivi unajua hata polisi wana namna ya kupokea taarifa kwa siri?? Hivi unadhani hadi yanafika hapo, WOTE HAPO HOSPITALI HAWAJUI KUWA MAKITU YAO YAMEEKSIPAYA???
Kama ni usahihi ungeanzia kwenye hayo madude kuondolewa kabla hali haijafika hivyo
Tatizo kubwa ni kuwa kuna watu wameona dada kachomewa...!! Lakini hawana taarifa yoyote ya nani amefanywa lolote na hayo yaliyoexpaya na amepata madhara gani..!!Kweli kabisa
Tatizo kubwa ni kuwa kuna watu wameona dada kachomewa...!! Lakini hawana taarifa yoyote ya nani amefanywa lolote na hayo yaliyoexpaya na amepata madhara gani..!!