Mkuu pole sana unapambana sana hadi nakuonea huruma! Hakuna anayemtoa kwenye barabara ni mkataba amesaini mwenyewe na kazi yetu ni kuuchambua na kuelezaMimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Wewe, tumesema hatutaki ngonjera, sema wewe unaupinga nini, kama huupingi sema siupingi.Sawa.....usimjaze upepo mheshimiwa Raisi.....mwacheni afanye kile anachoona kinafaa,ukipinga wewe ulikuwa na maslahi,ukitetea wewe ni chawa....taifa la hovyo Sana hili.
Wewe hata tukikuuliza unaunga nini mkono huna cha kujibu. Maana haswa kinachokufanya uweweseke ni madhanio ya kuukuza Uislamu kupitia Waarabu.Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Ajuza once again!Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Wewe wacha ngonjera, siihitaji huruma yako.Mkuu pole sana unapambana sana hadi nakuonea huruma! Hakuna anayemtoa kwenye barabara ni mkataba amesaini mwenyewe na kazi yetu ni kuuchambua na kueleza
Sama leko😂😂😂😂😂😂
Leo pale msikitini kwetu makao makuu ya BAKWATA mh.waziri mkuu ametujibu mengi mazuri....Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).Ajuza once again!
Makubaliano yapi ? Mimi napinga mkataba Hauna uhalali kati ya Tanganyika na Dubai ports world tunataka waliomshauri raisi wajitokeze tuwahoji mambo mengi ambayo wewe huna majibuMimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
[emoji7]Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera). Kama hupingi sema sipingi au nauunga mkono mkataba. Tosha.Leo pale msikitini kwetu makao makuu ya BAKWATA mh.waziri mkuu ametujibu mengi mazuri....
Amekata kiu yetu ya kujua umuhimu wa uwekezaji huu wa DPW[emoji120]
Hakika awamu ya 6 inaendeleza nia njema ya kuujenga uchumi wa taifa letu[emoji123]
Kongole kwake mh.Rais wetu SSH na wasaidizi wake [emoji120][emoji7][emoji2956]
#SiempreJMT[emoji120]
Kwenye hili la bandari sitaki mihemko...nimetulia ili muda ukitoa majibu sahihi nisinukuliwe popote pale. Ikiwa heri ni vyema lakini ikiwa siasa tutajifunza then tusonge mbele. So I don't declare anything.Wewe, tumesema hatutaki ngonjera, sema wewe unaupinga nini, kama huupingi sema siupingi.
Mimi sipingi, kwa jinsi wabongo wanavyopiga pale bandarini bora tumkabidhi mtu mwenye hofu ya uwepo wa Mungu japo miaka 100 tu.Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Samia,Gsm,Rostam= DP worldMimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Wacha ngonjera, nakupeleka kwenye uzi wenye mkataba utuele ze kifungu unachoki[inga kimojha kimoja.Makubaliano yapi ? Mimi napinga mkataba Hauna uhalali kati ya Tanganyika na Dubai ports world tunataka waliomshauri raisi wajitokeze tuwahoji mambo mengi ambayo wewe huna majibu
ChawaMimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Umekosa cha kupinga. 2 -0Chawa
Wewe unawajua ?Wacha ngonjera, nakupeleka kwenye uzi wenye mkataba utuele ze kifungu unachoki[inga kimojha kimoja.
Waliomshauri unawajuwa?
umekosa cha kupinga 3-0Umeshiba pilau umepata genye sasa