Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Zitto wewe ni jembe...unauzika popote...karibu sana CCM zitto.....Tunakuhitaji huku......hatuna watu wenye uwezo kama wa kwako
duuuh Zitto c mtu ni mnyama ndani ya chama chetu ,,,,Chadema naipongeza hayo ni maamuzi sahihi Kwa muda sahihi
One thing is for sure.
CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.
Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?
Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.
Instead tunaona yaleyale tu.
Maneno ya mkosaji hayo,bs aje kwenu ahoji pembe za ndovu uone kama atasalimika,ictoshe mwigulu ni swahiba wake bs ampishe hyo nafasi ili zitto aendelee n shughuli zake.
swala la ukabila liko ccm na sio chadema,mimi sio mchaga ila cdm damu.
Mkuu mnakosea sana kihubiri ukabila ndani ya nchi iliyo na kabili zaidi ya 184
Mimi sio mwanasiasa ila comment yako imenishtua kidogo! Kwanini Mwampamba na Shonza wapokelewe kwa mbwembwe na ccm lakini zitto mwenye ushawishi mkubwa hawataki kumpokea wanataka apiganie haki yake?
Zitto wewe ni jembe...unauzika popote...karibu sana CCM zitto.....Tunakuhitaji huku......hatuna watu wenye uwezo kama wa kwako
Usipende kuwa mganga wa kienyeji mkuu.
Pole sana unajidanganya......Uongozi sio majengo...uongozi ni fikra na vision sahihi...pole sanaSijui unazungumzia nchi ya wapi hio, Tanzania haiwezi kuongozwa na chama ambacho hakina hata makao makuu! Kitakufa kifo cha paka!
kama huu Sakata la CHADEMA KUJITEKA, kummwagia tindikali Saed Kubenea na chanzo cha ugomvi wa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe. - MPEKUZInakubaliana nawewe ktk hili
lakini ni vyema kuwa makini na hizi waraka,kwani leo zimekubalika na kutumika kufanya maamuzi,kesho zitawalenga wakuu wengine na zitaleta sintofahamu.
One thing is for sure.
CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.
Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?
Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.
Instead tunaona yaleyale tu.
Tetesi zinadokeza kwamba bedera za lumumba kupepea nusu mlingoti kwa siku 7 .
Ni ukweli ulio wazi kwamba chama pekee kwa sasa nchini chenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa chama na Taifa ni chadema pekee. Hii inawezekana kutokana na ukweli kwamba viongozi wake hawana mawaa yatakayowafanya kushindwa kutekeleza maamuzi. Hakika dunia itatushangaa sana kama tutashindwa kuona huu ukweli na kuufanyia kazi wakati ukifika. Sina haja ya kueleza mengi bali tunajua ni jinsi gani ccm wameshindwa kwa kishindo kutosana pale baadhi wanapoharibu, wakijua kuwa kila mmoja wao ana maboriti yake. Watanzania tusiyumbishwe wala kutishwa na waoga wanaosena maamuzi ya cdm si sawa. Ni nguvu ya wananchi hii. Ni sauti ya umma. Ni hatua kuelekea machweo. Ni wengi wanaona haya ila wanachelea kuamini wakionacho na wakisikiacho. Aminini tu maana ndio ukweli wenyewe. Power to the People...!
Ya huo waraka tunajua chadema wame utengeneza wenyewe hili kuhakisha zitto na kitila wana fukuzwa.
Chadema amuoni aibu?
Chadema hii dhambi itawatafuna sana.
Duuu, Kiranga, ulitegemea CHADEMA ichukue maamuzi ya kutangazia UMA kwamba chama hakina migogoro ili kukidhi vigezo vya kuchukua nchi?One thing is for sure.
CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.
Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?
Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.
Instead tunaona yaleyale tu.
Hivi ile trailer ya Lema, ilikuwa ilisaidia au imeharibu uamuzi huu wa leo? Naona kama kwa move ya Lema , ZZK amepata uwanja mpana sana wa ku-justify ukabaila na ukandamizaji ndani ya CHADEMA. kama hili swala la kufukuzwa lilijulikana, Lema asingesubiri uamuzi utoke ili kutilia uzito hoja?
Amekijenga na fito...Lema kaja juzijuzi lakini waliokijenga chama wanadharauriwa kwa ajili yake!
Kila mtu alikua anajua chadema watakuja na story zile zile za waraka.
Zitto na kitila wameponzwa na misimamo yao ya kutaka maendeleo ndani ya chama hasa kuhusu matumizi ya ruzuku.
Zitto kaponzwa na uenyekiti+posho.
Zitto na kitila wameponzwa kwa kudai taarifa za fedha ndani ya chama.
Zitto na kitila wameponzwa na kutokuwa tayari kuburuzwa na baadhi ya viongozi wa chadema.