Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Natumaini baada ya muda mfupi ujao,watatangaza kujiunga ccm.Nawatakia kila la kheri.
Ninamsikitikia sana Wasira kila mpango wa kuisambaratisha Chadema anaopanga unafeli.
Ninaamini pia kwamba saa ya ukombozi imeshafika,mawimbi yaliyokuwa yanatokea katika safari ya ukombozi yamezimwa na bahari itakuwa shwari.
 
Jamani kwanini tunamtetea sana tunasahau kuna na wengine akina Kitila na Mwigamba? Kwani wewe Tume ya Katiba, kwanini tusimpokee Zitto atusaidie kukijenga CCM yetu?
 
Last edited by a moderator:
Slaa kakopa pesa za chama kajenga jumba la kifahari. Lakini ofisi imeshindikana kujenga!

hizo pesa alizokopa slaa kisharejesha zaidi ya %98 ya mkopo wake ila wanazi wa ccm bado kwenu ni issue?

swala la ofisi huwezi jua bila kutangaziwa ila chadema inajua inafanya nini na huwezi kuwapangi vya kufanya kama mlivyokuwa mkiipangia remote yenu!

Ukitaka kujua mikakati yote ya chama join us
 
Duuu, Kiranga, ulitegemea CHADEMA ichukue maamuzi ya kutangazia UMA kwamba chama hakina migogoro ili kukidhi vigezo vya kuchukua nchi?

Kama tumewezwa kuongozwa na ccm dhaifu namna hii, sioni ni nini kitaishinda CHADEMA.
Sangarara.....CDM ni chama makini na madhubuti.....Waambie leo CCM wamtimue hata Lowassa kama wataweza...misingi ya chama lazima izingatiwe
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kujenga nyumba yake halafu uje mjelajela na kumdhulumu simply ngoja apiganie haki yake na ikishindikana aende anakopendwa.

Achana na akili za ki-punda punda, zitto kajenga nyumba gani?
 


Yani Mtingaji nakwambia nipo kwenye dose ya malaria lakini kwa habari hii nakwambia naungana nawe yani wee acha tu!
Angevuliwa na Ubunge kabisa hana adabu msaliti mkubwa huyo.
 
Last edited by a moderator:

KWANGU MIMI hii YAKO NDIYO POST BORA KABISA KWENYE UZI HUU .
 

Mkuu...hawa hawajui kuwa CHADEMA ni Chama makini....sasa tumeshamtoa kubwa la wasaliti.,...its almost done.......
 
CHAMVIGA Zitto wewe ni jembe...unakubalika popote...karibu CCM zitto.....Tunakupenda ...tunakuamini...CDM walikupenda lakini sisi tumekupenda zaidi

Kwakuwa hujui unachoshabikia sawa endelea. Siku ukisikia zito ccm utajuta sana.
 
Last edited by a moderator:
Kitila Mkumbo anahongwa laki mbili kama mfagizi wa ofisini kwangu! Ptuuuuu hata mm naweza mfanya house boy wangu nikamlipa laki nne.....iinaonekana huyu jamaa kusoma kote haikumsaidia kitu
rushwa haina mjanja mkuu rais alihongwa suti hukushangaa, mimi nikipewa hata rushwa ya msimbazi napokea
 
..,Tulia bwana mdogo waliofanya maamuzi wamechunguza wakajiridhisha kabisa wewe sisimizi na akili zako za kimagamba kaa pembeni wanaume waendeleze harakati za kuikomboa nchi yetu.

update zinachelewa na ndio maana tunauliza maswali ambayo yameshajibiwa ktk update
 

Mbona unaongea kama M2????????? Husisahau kuwa unatafutwa.
 
Hili ni tamko lakini walishampiga Zitto chini muda mrefu.

Ni muda mrefu sasa Zitto hashirikishwi katika shughuli za chama. Hadhaminiwi kama naibu katibu mkuu.

.
 
KWANGU MIMI hii YAKO NDIYO POST BORA KABISA KWENYE UZI HUU .

Asante sana mkuu........leo kuna sherehe mitaa flani.....Naipenda sana CHADEMA.............Love u chadema...I LOVE U CHADEMA.....Loooooooohhhhhhhh.....CHADEMA
 
Vipi kuhusu pesa alizokopa sl kamati kuu imesemanaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…