Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.

Vyombo vya habari waliokuwa kwenye press conference wamepewa...wewe shida yako nini? uwe na subira bhanaaaa...alaaaaaa
 
kama zitto na dr kitila mkumbo waliomba kujiuzulu baada ya waraka huo kudakwa,that literaly means walikua wanahusika moja kwa moja kwenye waraka huo,and if thats the case wanastahili adhabu hawajaonewa kabisa.

yani wewe unayaamini maneno yauongo km hayo
 
Ujinga kama huu huwa sijibu, mtu msomi unaandika kifacebook kwenye jamii forum. Hivi wewe ni kweli ulikuwa mwanachama wa Chadema au wewe ndo M2 unaetafutwa?
Vipi kuhusu pesa alizokopa sl kamati kuu imesemanaje?
 
kumbe ndio maaaana mara sitaki posho mara nataka nistaafu siasa kumbe nikweli ameuza mechi timua mamluki huyo halafu kuna mtu anaitwa shibuda ana damu ya kijani kabisa kama vipi na yeye mnamuachaje?
Dawa yake inachemka, ila afadhali tena ya shibuda sio mnafiki nikiwa na maana maovu yake yote yako wazi, hivyo wanachama wote wa chadema tunajua kuwa mjinga huyu na tunampuuza kwa ujinga wake. Tofauti na zito.
 

Mkuu nimeiona hii, mbona kwenye hili Zitto bado ni mshindi kaka. Tunasubiri kauli ya Zitto tujue what next.
 
Last edited by a moderator:

Iweee rutashoborwa, kurugenzi ya habari ametujuza kuwa hiyo taarifa ya suiri itasambazwa kwenye media very soon. Just wait iwee
 
Kwa taarifa tu ni kwamba zito alifika katika kikao hicho usiku wa manane akitokea Sudan ila hawajampa nafasi yeyote ya kujitetea.

Thubutuuuu...amepewa nafasi ya kujitetea akajikanyaga kanyaga...na amepewa siku 14 Kujitetea...shida yako nini Gamba... CHAMVIGA Zitto ni jembe anauzika Popote...Karibu CCM zitto...tunakupenda tunakuamini...Zitto for CCM Presidency 2015
 
Last edited by a moderator:
tunasubiri maamuzi ya wakuu ,pesa inaweza kumnunua zito na kumfanya aone giza kuhusu ukweli lakini pesa haiwezi kukiua chama kamwe asilaani maadam tunajua tunaenda wapi na tumetoka wapi ,
 
Mkuu nimeiona hii, mbona kwenye hili Zitto bado ni mshindi kaka. Tunasubiri kauli ya Zitto tujue what next.

Hahhaahhaha...Ushindi anashindana na nani? CHAMA kimeamua kumtimua...alafu what is next yako si imeshapita...si ulitoa ultmatum yako ya kimbuzi wewe
 
Dogo tulia. Acha kiherehere kama unataka kutaga. Umeumia?

Nyie ccm mchukueni huyo zitto mkanywe nae chai na kupata ushauri wake. Naamini jamaa ni kichwa sana kama dovutwa wa updp
mkuu kula LIKe ya maandishi kabisa, hiki kirusi ZITo kimechafua chama kwa muda mreeeeefu toka enzi za Mwanahalisi mpaka leo,mwanahalisi walishawahi kuandika hili,na ni mmoja ya walioshiriki kufanya maamuzi ya kufungia gazeti la mwanahalisi, Pumbavuuuuuuu zake ZZK, chama kilikuwa kinakosa mwelekeo kwa migogoro isiyoisha sababu ya mapandikizi kama haya,Prezoo and His company PM7
 
tunasubiri maamuzi ya wakuu ,pesa inaweza kumnunua zito na kumfanya aone giza kuhusu ukweli lakini pesa haiwezi kukiua chama kamwe asilaani maadam tunajua tunaenda wapi na tumetoka wapi ,

I love you and you comment....hahaahahahahahahahahahahahah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…