Hakuna chombo cha habari cha maana kama JF mkuu, fuatilia tu hapa utapata kila kitu!!!!!!Vipi kuna radio au TV inayorusha LIVE?
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;
1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.
2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.
3.
Wasomi wamechambia jani la mgomba!!!!!Zitto na Kitila nyie ni wasomi sio kama Lema, waachieni chama chao wasije wakawapiga na Vitofali
Watanzania kila siku tunajenga vyama vya siasa sijui tutakumbuka lini kuijenga nchi yetu. CCM chama cha mwaka 1977 bado kinajengwa, tena na katibu mkuu ambae alikuwa ni kanali wa jeshi, Mungu wangu, watz akili zetu sijui tulilaaniwa na Mungu? Tunauchukia sana Ukweli, hatupendi kuelezwa ukweli, maslahi ya Chama mbele kuliko Taifa.
Hivi kwa nini hii habari imewasikitisha sana CCM??
utakuwa na mimba ama ya Lema, kileo au Nasary..
kwa taarifa tuu zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuona chama kiko kimya baada ya hule uzushi na baadae chama kika kanusha kumbe walishajipanga kuhakikisha ZITO NA KITILA WANAONDOKA.
HIVI NI NANI ATAVUMILIA KUONA HELA YA KUMKOPESHA DR SLAA HIPO LAKINI YA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAIPO?
NI NANI ATAVUMILIA KUONA Godbless J Lema ANA WARUSHIA WATU MATOFARI?
NI NANI ATAVUMILIA KUONA KATIBA YA CHAMA INA KIUKWA NA VIONGOZI?
NI NANI ATAVUMILIA KUONA RUZUKU ZA WANANCHI ZINATUMIWA NDIVYO SIVYO.
Watamfanya kachumbari wallah... labda mkwe wake amuokoe..
Haah haaa nyie wehu sana.Zito mwenyewe kakubali mpaka kuomba ajiuzuru.Leo unataka nani mwingine.
kwa taarifa tuu zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuona chama kiko kimya baada ya hule uzushi na baadae chama kika kanusha kumbe walishajipanga kuhakikisha ZITO NA KITILA WANAONDOKA.
HIVI NI NANI ATAVUMILIA KUONA HELA YA KUMKOPESHA DR SLAA HIPO LAKINI YA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAIPO?
NI NANI ATAVUMILIA KUONA Godbless J Lema ANA WARUSHIA WATU MATOFARI?
NI NANI ATAVUMILIA KUONA KATIBA YA CHAMA INA KIUKWA NA VIONGOZI?
NI NANI ATAVUMILIA KUONA RUZUKU ZA WANANCHI ZINATUMIWA NDIVYO SIVYO.
Ndugu zangu wanna JF nimefurahishwa sana na maamuzi MAGUMU Chadema walio ya chukua big up ushindi uko pale pale,zito na wenzake waende ccm ndiko kunawafaa
ukiwa pamoja na zitto lazima akili iwehuke
Uyo anajulikana rangi yake...Waraka njoo tumuumbue huyu arap Sang wa Bongo.popo huyu hajulikani chama gani