Hakuna mtu akataza mtu asiamini anavyotaka , kila mtu ana haki ya kuamini chochote tu ,ukitoa madai ya imani yako kwa wasiamini imani au wanataka kujua na sio kuamini tu utatakiwa uthibitishe.Nikuulize, siku ya ibada mhubiri akienda na time bomu, akaset dakika 5 ili baada ya hapo lilipuke, akawaambia waumini likilipuka tu mtamuona MUNGU halafu yeye akakimbia, akirudi baada ya dakika 5 unadhani nini kitakuwa kimetokea?
Uwezekano ni kuwa, waumini wataachana na imani watatumia logic. Kwanini? Sababu utayari wa kufa unagusa Logic si imani pekee, so Mtasikilizana na anayekuhubiri iwapo ndani yako upo tayari kuamini sio kutumia Logic, kama ambavyo aliye tayari kufa atasubiri bomu lilipuke badala ya kutumia Logic.
Mkristo kukufata anatimiza matakwa ya kiimani ya kikristo sio matakwa ya Logic. Kwa mkristo kukuletea injili anatimiza takwa la kiimani bila kujali logic zako zinasema nini.
Mathayo 28:19–20 : “Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.”
Hahaha, na hapa ndipo mnapofeli wakuu wa Logic, anatakiwa athinitishe vipi ilihali hajali kuhusu Logic? anachojali ni matakwa ya imani yake sio Logic zako, sasa athibitishe vipi?Hakuna mtu akataza mtu asiamini anavyotaka , kila mtu ana haki ya kuamini chochote tu ,ukitoa madai ya imani yako kwa wasiamini imani au wanataka kujua na sio kuamini tu utatakiwa uthibitishe.
Wanaofeli ni wao waumini , ndio maana nikakueleza kuhusu hakuna anaowafuata makanisani na kwenye nyumba za ibada kuwahoji madai yao ya mungu, umeshaelewa ?Hahaha, na hapa ndipo mnapofeli wakuu wa Logic, anatakiwa athinitishe vipi ilihali hajali kuhusu Logic? anachojali ni matakwa ya imani yake sio Logic zako, sasa athibitishe vipi?
Mimi nakuelewa boss unaposema kuwa muumini anafeli kuja kwako, tunapotofautiana ni uelewa wa huko unakokuita kufeli ni takwa la kiimani, yaani yeye kuja kwako ni moja ya imani yake inachotaka. Na akifika kwako, swali la thibitisha MUNGU yupo ukitumia logic halina maana sababu yupo pale kiimani hajali Logic. That's what i am trying to show you.Wanaofeli ni wao waumini , ndio maana nikakueleza kuhusu hakuna anaowafuata makanisani na kwenye nyumba za ibada kuwahoji madai yao ya mungu, umeshaelewa ?
define special pleadingAsante kwa ushiriki wako👏
Sayansi ina mipaka haiwezi kukupa majibu ya kila kitu,kuna baadhi ya mambo utahitaji dini upate majibuKila kitu kiliumbwa. Perfect! Nani alimuumba Mungu?
Pia kama unaona kuwa dunia ilivyo kuna akili kubwa sana imetumika, kwa nini unasema Mungu ni mmoja? Kwa hii hoja yako unajuaje kama sio akili zaidi ya 1000 zilikaa na kuunganisha idea ya kuumba ulimwengu, kwa nini isiwe ni Miungu aftatu ndio iliumba ulimwengu. Kwa nini mnasema ni mmoja. Huyu mmoja ni yupi, na vigezo gani vinafanya muamini ni yeye peke yake tu ndio anastahili hizo sifa?
Ndio maana mimi namuelekeza kuwa imani zao ni za uongo , kanya boya na kwangu hazina maana yoyote, simple like that.Mimi nakuelewa boss, kuwa muumini anafeli kuja kwako, sasa huko unakokuita kufeli ni takwa la kiimani, yaani yeye kuja kwako ni moja ya imani yake inachotaka. Na akifika kwako, swali la thibitisha MUNGU yupo ukitumia logic halina maana sababu yupo pale kiimani hajali Logic. That's what i am trying to show you.
Tushamaliza aseedefine special pleading
Na ndipo unapofeli, sababu kama nimekuja kwako kuhubiri, tayari saikolojia yangu imebubikwa na imani, kunielekeza kwa kutumia Logic ni kunithibitishia kuwa wewe ni wa Shetani unahitaji ukombozi na ukiwa mbishi naweza anza kukemea mapepo.Ndio maana mimi namuelekeza kuwa imani zao ni za uongo , kanya boya na kwangu hazina maana yoyote, simple like that.
Samahani, nje ya mada:mjadala huu mara nyingi hujikita kwenye kutumia akili
Njia ngumu itatumika tu , watu wa imani ni kama waathirka wa cocain ,hivyo wakitoa madai yao watapaswa wathibitisheNa ndipo unapofeli, sababu kama nimekuja kwako kuhubiri, tayari saikolojia yangu imebubikwa na imani, kunielekeza kwa kutumia Logic ni kunithibitishia kuwa wewe ni wa Shetani unahitaji ukombozi na ukiwa mbishi naweza anza kukemea mapepo.
Kama kweli unatumia Logic hili ulipaswa kuliona before kumuelekeza kwa Logic mtu anayefika kwako na habari za imani.
Mtakesha. Logic imeshindwa kuwafuta Flat Earthers iweze kufuta imani ya uwepo wa MUNGU? Kila la heri, hahaha.Njia ngumu itatumika tu , watu wa imani ni kama waathirka wa cocain ,hivyo wakitoa madai yao watapaswa wathibitishe
Tunaliona vizuri sana na kila siku maswali yatajirudia yale yale, mpaka yajibiwe.
Thibitisha Mungu mueza wa yote na mwenye upendo na mtenda haki kuwa yupo.
Kwanza sitaki kuamini kwamba dini imekuwa submanipulative ,ila tuliache hili kwasababu umetaka sasa tutumie tools nyingine tofauti na dinikaribu!
swali la kwanza huoni kama Dini imekuwa submanipulative tools ya kutumanipulate tushindwe kutafuta ukweli wa sisi ni nani na tumetokea wapi kwa kutupa majibu mepesi ambayo ni very confusion?
unaamini wewe ni udongo? unaweza kunipa evidence kwamba wewe ni udongo?
unaamini kwamba binadamu aliumbwa kipi kinafanya aliyeumba ashindwe kuumba tena ila atumie njia nyingine?
nilichosema ni kuthibitisha uwepo wa kila kitu akiwemo Mungu,malaika na vitu vyote bila kutumia manipulative tools zozote kama biblia au qurani tumia hoja za mazingira na experiences
Sifikiri kama kuna mtu analengo la kuwafuta🤔 hili ndio nasikia kwako kwanza.Mtakesha. Logic imeshindwa kuwafuta Flat Earthers iweze kufuta imani ya uwepo wa MUNGU? Kila la heri, hahaha.
Kutaka uthibitisho wa uwepo wa MUNGU kwa kutumia logic ni kujaribu kuireplace imani na Logic.Sifikiri kama kuna mtu analengo la kuwafuta🤔 hili ndio nasikia kwako kwanza.
Ili wakwepe hilo wacheze kwenye mipaka ya imani, kwa sababu hata huko kwenye imani zao wenyewe kwa wenyewe tu wanashindwanaKutaka uthibitisho wa uwepo wa MUNGU kwa kutumia logic ni kujaribu kuireplace imani na Logic.
Naam naamini binadamu ameumbwa,muumbaji hashindwi au hakushindwa kuendelea kuumba tena,ila aliamua kuelekeza mpango mwingine kwa sababu ambazo anazijua yeye mwenyeweunaamini kwamba binadamu aliumbwa kipi kinafanya aliyeumba ashindwe kuumba tena ila atumie njia nyingine?
1. Je unataka uthibitisho wa namna gani maana unaomba uthibitisho wa kiwango cha kisayansi kwa kitu ambacho kwa definition kiko nje ya mfumo wa kisayansi. Sayansi inachunguza vitu vinavyoweza kupimwa, kurudiwa, na kuthibitishwa kwa majaribio. Mungu kama Supernatural Power kwa definition yake yenyewe yuko nje ya mfumo huo. Kuomba ushahidi wa kisayansi wa Mungu ni kama kuomba kipimo cha thermometer kupimia uzito chombo sahihi, lakini si kwa kazi hiyo. Hii haimaanishi Mungu hayupo inamaanisha kwamba mbinu yako ya kuthibitisha haifai kwa swali hili.Mpaka sasa.
Kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote.
1. Hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
Kwenye uthibitisho tunapewa hoja za kubumbabumba zilizojaa logical non sequitur fallacy na special pleading fallacy. Kama vike kuwa ulimwwngu huu ni ushahidi kuwa Mungu yupo kwa sababu ukimqwngu hauwezi kugokea wenyewe (logical non sequitur kwa sababu hata kama ni lazima kitu kiumbwe, si lazima kiumbwe na Mungu) pia kuna special pleading fallacy kusema kila kitu kilichopo kinqhitaji muumba lakini Mungu hahitaji muumba.
But then again, the people making these argument, do they even know what logical non sequitur fallacy is? Do they know what is special pleading fallacy?
Do they even know what a logical fallavy is?
2. Hakuna aliyetatua the problem of evil. Kutatua maana yake ni kuielewa kwanza na kuipatia ufumbuzi, hapa waamini Mungu wengi hata kuelewa the problemnof evil ni nini hawaelewi. Huwezi jutatua tatizo ambalo hukielewi.
3. Hakuna aliyeeleza Mungu katokeatokeaje. Tunaambiwa Mungu hana mwanzo, bila ushahidi wa hata kama yupo, achilia mbali hana mwanzo.
4. Hakuna aliyethibitisha ulimwengu una mwanzo. Kama ulimwengu hauna mwanzo, hoja ya Mungu kuhitajika kama muumba ulimwengu inaondoka.
5. Hakuna aliyetatua tatizo la kama Mungu huyo yupo, imewezekanaje hata mjadala kuhusu uwepo wake ukawezekana, kwa nini Mungu huyo asitupe uelewa tu kuwa yupo kwa namna ambayo inaondoa utata wote mpaka mjadala wa kuwapo kwake hauwezekani.
Unaweza kuikwepa kazi yako unayoamini ndo tiketi ya mbingu?Ili wakwepe hilo wacheze kwenye mipaka ya imani, kwa sababu hata huko kwenye imani zao wenyewe kwa wenyewe tu wanashindwana
Tutaendelea tu kuuliza na kuhoji ila kamwe hauta nikuta kanisani au msikitini nikihojiUnaweza kuikwepa kazi yako unayoamini ndo tiketi ya mbingu?