Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

Hapana, hapo tunatofautiana. Ni kwamba wezi walimzidi kete wakawa wanamdanganya. Wizi ni tabia. Dkt Magufuli hakuwa na uvumilivu na rushwa wizi. Walimzidi kete kwa uongo na yeye kibaya akawaamini. Dkt Magufuli toka moyoni alikuwa mzalendo
Mzalendo wa 1.5 tr. Kivuko nawapa jeshi, sasa nisikie mtu anakiongelea. Huyo ndiye Mzalendo halis kutoka moyoni
 
Ndio, wanaweza mkataa kupitia Full Council kwani hilo ndilo linasimamia Halmashauri. Pia Mkurugenzi yupo chini ya Mwenyekiti wa Halmashauri ambaye ndiye mwenyekiti wa Baraza. Madiwani na wabunge wanaweza muwajibisha DED.
Mkurugenzi au kamishina wa idara je,
 
Ndio, wanaweza mkataa kupitia Full Council kwani hilo ndilo linasimamia Halmashauri. Pia Mkurugenzi yupo chini ya Mwenyekiti wa Halmashauri ambaye ndiye mwenyekiti wa Baraza. Madiwani na wabunge wanaweza muwajibisha DED.
Mkurugenzi au kamishina wa idara je,
 
Ndio, wanaweza mkataa kupitia Full Council kwani hilo ndilo linasimamia Halmashauri. Pia Mkurugenzi yupo chini ya Mwenyekiti wa Halmashauri ambaye ndiye mwenyekiti wa Baraza. Madiwani na wabunge wanaweza muwajibisha DED.
Mkurugenzi au kamishina wa idara je,
 
Ufisadi haujawahi kuisha tangu enzi za Magufuli! Magufuli mwenyewe alikuwa fisadi hivyo tusijifanye hatukuona kwa nia ovu ya kumfanya yeye aliukomesha!
 
Wazee wa legacy mtapata tabu sana. Pole mkuu baada ya muda maumivu yatapoa
Tunazungumzia wezi achana na mambo ya legacy.Mwakani nazo zitapigwa tena Sana na mama yupo sasa hapa legacy inakujaje dhidi ya kodi zetu.
 
Acha kumdhalilisha mama we su **** gang
 
Una taarifa ya CAG ? Au unakunywa mataputapu unalala unaota ?
 
Angalia riport ya CAG ndo ujue kuwa kulipindi Cha jpm upigaji ndo ulikuwa more than. Kipindi ke sema riport zikuwa hazitoki tu Ila ndo upigagi ulikuwa too much. Soma riport ya CAG hata Kama we ni mvivu by nature
 
Nikajua umekuja na ushahidi kumbe uzushi.

Wewe umetafuna bei gani hadi sasa? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii nchi ni ya hovyo sana

Kinachoniskitishaga humu jukwaani , kuna watu wanajifanya kama wao pekee ndio wameitendea sana haki shule kuliko watu wengine

wao ndio wana akili nyingi sanaaa & sisi wengine vilaza sanaaaa

Tangu hapo awali tulikuwa tunasema kwamba wizi kwenye halmashauri umerudi cha ajabu wale wanaojiita wasomi sana na wenye jf yao wanajifanya kutetea

Evidence zilikuwa zinawekwa hapa lakini bado kuna wengine wanajiita machawa sijui viroboto wa mama walikuwa wanatetea mpaka mishipa ya shingo inawatoka

Sasa leo hii kila kukicha tunaskia milio tu, sasa hao wanaojiita sasomi wa jf, machawa na viroboto sijui watatueleza nini?

mkiambiwa kitu muwe mnaelewa na sio kuleta ubishi na elimu zenu hizo za division V

mnakera sio nyie mnaotetea upuuzi mnaojiita machawa na kujifanya mmesoma sana ..... mburumundu wakubwa nyie.
 
Weka evidence acha ujinga,kama kuna wizi wa hivyo mbona tunaona miradi inatekelezeka vizuri?

Hadi sasa wewe umeiba kiasi gani? Kwa taarifa yako kwa sasa Serikali ina pesa ndefu tofauti na zamani ilikuwa ni ku struggle.
 
nyie ndio mnaosababisha hii nchi isiende mbele

watu wanaikosoa serikali dhidi ya ubadhulifu nyie mnaleta jokes

sukuma gang ndio nn au nyie ndio machawa? kuna leo na kesho kaka

hizi raslimali zikija kuisha vijukuu & vitukuu vyako vitatafutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…