The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Jokes unaleta wewe ambae unaleta uzushi badala ya facts.nyie ndio mnaosababisha hii nchi isiende mbele
watu wanaikosoa serikali dhidi ya ubadhulifu nyie mnaleta jokes
sukuma gang ndio nn au nyie ndio machawa? kuna leo na kesho kaka
hizi raslimali zikija kuisha vijukuu & vitukuu vyako vitatafutana
Hii awamu ya 6 chini ya Kikwete na makamu wake Mama Samia ni janga tupu. Ule ujinga wote wa awamu ya 4 umerudi kwa kasi sana, kutokana na ripoti ya CAG.....TANESCO wameonekana na ubadhilifu mkubwa mno na hakuna watakachofanyiwa na Mama zaidi ya kulelewa tu na kuturudisha nyuma kimaendeleo. Kwa kweli Mama Samia anashindwa kuliongoza hili taifa kama JK enzi zake.Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Kwani nyie Umoja Party mnasemaje?Hii awamu ya 6 chini ya Kikwete na makamu wake Mama Samia ni janga tupu. Ule ujinga wote wa awamu ya 4 umerudi kwa kasi sana, kutokana na ripoti ya CAG.....TANESCO wameonekana na ubadhilifu mkubwa mno na hakuna watakachofanyiwa na Mama zaidi ya kulelewa tu na kuturudisha nyuma kimaendeleo. Kwa kweli Mama Samia anashindwa kuliongoza hili taifa kama JK enzi zake.
Mama ripoti anayo ila anashindwa kukemea, kuna haja ya kulipa kodi kweli ikiwa hali yenyewe ndiyo hii? CCM is a failed party, mkombozi wa kweli alikuwa Magufuli tu ila si huyu Mama na wenzake.Sio kila kitu ni Raisi tuu, hiyo ngazi ya halmashauri madiwani wenu wanaweza kuwapigania maana kazi mojawapo ya madiwani kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, watu tuanze kuwajibishana hapo hapo mitaani kwetu ndio maendeleo ya kweli yatakuja, madiwani wana nguvu sana lakini sijui kama wanajua hilo zaidi ya kujiona wanyonge na kusubiri posho tuu
Tena mbele na nyuma,jiwe alikuwa bize kuua upinzani kuliko kupambana na ufisadimuwe wepesi wa kutafuta taarifa, nchi inapigwa hii ina maana hata vyombo vya habari hamfuatilii?
Ndio tatizo la mtanzania yaan kila kitu yeye anataka atafuniwe tu
kuumiza vichwa nyie hamtaki mnataka muwe mnaletewa tu!
ina maana nyie hamjui kama nchi inapigwa hii
Awamu ya 4 ndiyo hii iliyopo madarakani sasa, hakuna utawala ndani ya nchi, badala ya kuendeleza pale alipotufikisha Magufuli tunarudishwa nyuma kwenye awamu ya kijinga kuwahi tokea hapa Tanzania (awamu ya 4).Kwani nyie Umoja Party mnasemaje?
Awamu ya 4 ilikuaje? Tukifanya ulinganisho Kati ya awamu ya 5 na 4 ni awamu gani wamefisadi Sana Tzn?
Wewe fala Nini,kwa Hiyo unataka kusemajeAwamu ya 4 ndiyo hii iliyopo madarakani sasa, hakuna utawala ndani ya nchi, badala ya kuendeleza pale alipotufikisha Magufuli tunarudishwa nyuma kwenye awamu ya kijinga kuwahi tokea hapa Tanzania (awamu ya 4).
TrueAwamu ya 4 ndiyo hii iliyopo madarakani sasa, hakuna utawala ndani ya nchi, badala ya kuendeleza pale alipotufikisha Magufuli tunarudishwa nyuma kwenye awamu ya kijinga kuwahi tokea hapa Tanzania (awamu ya 4).
muwe wepesi wa kutafuta taarifa na sio kila kitu mletewe mezaniMbona hutaji hiyo almashauri na kiasi kilicholiwa? Mambo yale yaleyale ya sukuma gang on the move, wazee wa legacy
Nasema kwa Kiswahili, bado hujanielewa?Wewe fala Nini,kwa Hiyo unataka kusemaje
wanalazimisha mambo ili ionekane awamu ya 5 ufisadi uliisha ila umerudi awamu hiihuyu ni sukum gang aliyefikia hatua ya kuchanganyikiwana kuwa mwehu! halali ni kuwaza kutunga ngonjera tu dhidi ya Samia na Awamu ya 6
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎNasema kwa Kiswahili, bado hujanielewa?
Yeye alikuwa jambazi na muuaji. Kafanya matukio mengi, na hata Sabaya kakiri kushirikiana na huyo dikteta uchwara!Hapana, hapo tunatofautiana. Ni kwamba wezi walimzidi kete wakawa wanamdanganya. Wizi ni tabia. Dkt Magufuli hakuwa na uvumilivu na rushwa wizi. Walimzidi kete kwa uongo na yeye kibaya akawaamini. Dkt Magufuli toka moyoni alikuwa mzalendo
kazi yetu siai wana jf ni kukosoa , hakuna mtu aliyesema kipindi cha magufuli hakukua na upigajiAngalia riport ya CAG ndo ujue kuwa kulipindi Cha jpm upigaji ndo ulikuwa more than. Kipindi ke sema riport zikuwa hazitoki tu Ila ndo upigagi ulikuwa too much. Soma riport ya CAG hata Kama we ni mvivu by nature
Na wewe lazimisha ๐wanalazimisha mambo ili ionekane awamu ya 5 ufisadi uliisha ila umerudi awamu hii
Tumia urefu wa Kamba yako. Kama Kamba yako fupi, ongezea urefu. Acha kulalamika fainali uzeeni. Utabaki na uzalendo wako mwenyewe!Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Wewe nakujua huna point za msingi zaidi ya kuleta chuki zako za kimalayaWewe ungekuwa na common sense ungeanza kwanza kulaani wizi na ubadhirufu wa mungu wenu wa Chato ambao ndiyo umeweka rekodi ya uwizi katika historia