Nenda tu hospital dear unapewa dawa ya siku 10 ukimaliza tu dawa na ugonjwa bye byedawa gani inayoweza kutibu ugonjwa wa aina hiyo hapo ulioolelezea mkuu
Uwo ugonjwa ni mwepesi sana dozi moja tu ya hospital unatibika....ila sijui kwanini watu wanaukuza sana
Ok... Mimi huwa napata food poison mara kwa mara so huwa naharisha sana... Ndio sbb ya kupata dr alinieleza hivo sina tatizo la constipation kabisa... Nilivyoona iyo hali mbio nilienda hospitalInategemea na hatua iliyofikia
Ikiwa haemorrhoids stage 1 au 2 inaweza kutibika kwa kutumia suppositories ,sana sana Anusol
Lakini ikiwa imefikia stage 3 huko mara nyingi inabidi ufanyiwe upasuaji mdogo waziondoe(haemorrhoidectomy)
Lakini pia miongoni mwa hatua muhimu kwenye matibabu ni kuweza kucontrol constipation.
Kama tatizo ni kubwa sana na linakukera tiba ni surgery tu, ila kwa kutuliza maumivu unaweza kutumia annusol supository au Scheriproct supository! Asante!ni ipi tiba nzuri ya huu ugonjwa maan nahisi na dalili za huu ugojwa siku ya tatu sasa tangu nmeanza kuhisi nimesoma baadhi ya makala ndo nkagundua nacho umwa ni iki, naombeni mnijuze dawa ya huu ugonjwa wakuuu....
Nenda pharmacy kubwa kuna dawa inaitwa Anusol inaweza kuwa msaada.
Kama tatizo ni kubwa sana na linakukera tiba ni surgery tu, ila kwa kutuliza maumivu unaweza kutumia annusol supository au Scheriproct supository! Asante!
Matibabu yake ni surgery tuu mkuu, ila tez dume ikikomaa inapekea kupata cancer!Hivi mkuu, matibabu ya huu ugonjwa hayafanani na ya Tezi Dume?
mkuu tatizo hili limeanz ivi karibun c zaid ya siku mbiliKama tatizo ni kubwa sana na linakukera tiba ni surgery tu, ila kwa kutuliza maumivu unaweza kutumia annusol supository au Scheriproct supository! Asante!
inafanana ila endapo kaa imetokea kwa ndani ila yangu ipo kwa njeHivi mkuu, matibabu ya huu ugonjwa hayafanani na ya Tezi Dume?
ahsante mkuu ila hii inaondoa kabisa au inapunguza maumivu tuNenda pharmacy kubwa kuna dawa inaitwa Anusol inaweza kuwa msaada.
inafanana ila endapo kaa imetokea kwa ndani ila yangu ipo kwa nje
Matibabu yake ni surgery tuu mkuu, ila tez dume ikikomaa inapekea kupata cancer!