Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Uwo ugonjwa ni mwepesi sana dozi moja tu ya hospital unatibika....ila sijui kwanini watu wanaukuza sana

Inategemea na hatua iliyofikia

Ikiwa haemorrhoids stage 1 au 2 inaweza kutibika kwa kutumia suppositories ,sana sana Anusol
Lakini ikiwa imefikia stage 3 huko mara nyingi inabidi ufanyiwe upasuaji mdogo waziondoe(haemorrhoidectomy)

Lakini pia miongoni mwa hatua muhimu kwenye matibabu ni kuweza kucontrol constipation.
 
Ok... Mimi huwa napata food poison mara kwa mara so huwa naharisha sana... Ndio sbb ya kupata dr alinieleza hivo sina tatizo la constipation kabisa... Nilivyoona iyo hali mbio nilienda hospital
 
ni ipi tiba nzuri ya huu ugonjwa maan nahisi na dalili za huu ugojwa siku ya tatu sasa tangu nmeanza kuhisi nimesoma baadhi ya makala ndo nkagundua nacho umwa ni iki, naombeni mnijuze dawa ya huu ugonjwa wakuuu....
 
Kama tatizo ni kubwa sana na linakukera tiba ni surgery tu, ila kwa kutuliza maumivu unaweza kutumia annusol supository au Scheriproct supository! Asante!
Nenda pharmacy kubwa kuna dawa inaitwa Anusol inaweza kuwa msaada.
 
Kama tatizo ni kubwa sana na linakukera tiba ni surgery tu, ila kwa kutuliza maumivu unaweza kutumia annusol supository au Scheriproct supository! Asante!
mkuu tatizo hili limeanz ivi karibun c zaid ya siku mbili
 
Habarini Wakuu,
Tafadhali wataalamu wa Afya, hili tatizo limenianza ghafla mida hii yaani nilienda kujisaidia haja kubwa, sasa baada ya kumaliza nikabaki na sehem za siri zimebaki na maumivu, na pia kuna Kama vivimbe vimetokeza kwa nje basi naskia maumivu muda wote, nafanya utaratibu wa kwenda hospital.
Naomba ushauri wa kitalaam zaidi pia asanteni sana
 
Nenda hospital kwanza unapoteza mda kuchat humu ugonjwa hausubiri ushauri wa humu.
 
Hiyo ni bawaziri mkuu ina tiba, wala usiogope.
Nenda hospital au pharmacy watakupa dawa.
Ila upende kunywa maji na matunda kwa wingi. Na ukiwa na haja kubwa usijibane kwa mda mrefu ili hali hiyo isijirudie.
 
Chukua beseni weka maji ya uvuguvugu na cchumvi kaa humo kwa muda Fanya hivyo Mara kwa Mara,hatua ya pili kula maparachichi siagi itasaidia kuopoza maumivu kisha nenda mwone Daktari usiende duka la dawa kamwone daktari aangalie ukubwa wa tatizo,pole sana.Wewe mwanaume au mwanamke.
 
Back
Top Bottom