Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Uingereza "wanayo katiba" ambayo haijaandikwa. Tukiwa first year tulifundishwa two types of constitution:
1. Written constitution
2. Unwritten constitution (eg Uk)

Kwa hivyo kimsingi UK Wana katiba ambayo haijaandikwa. Ambayo msingi wake ni document kongwe inayotwa mana Carta....
 
Nchi zote za ulaya zina-demokrasia mifumo haifanani ila wana-ustarabu mkubwa sana
Ni kweli ila Uingereza ndio ina ustaarabu wa muda mrefu zaidi wa muendelezo. Hapo kati Ujerumani ilipitia changamoto za Hitler na Unazi, Italia ikaangukia kwa Mussolini na Ufashisti, Hispania ikapitia mkono wa chuma wa Francisco Franco.
 
Nakazia hili. Waingereza ni wastarabu.

Nilitembelewa na rafiki yangu kidogo umri wake umeenda. Nilijifunza vitu vingi sana.

Tumerithi mambo ya kikatili sana tangu malezi hadi utu uzima.

Tunahitaji mabadiliko taratibu ya kiubinadamu. Evolution.

Leo mtu ana kuwa mtawala na sio kiongozi. Cheki matendo ya raisi wetu kama kiongozi mkuu anakuwa hivyo unategemea raia aweje?
 
Ukimtizama waziri wao mkuu anavyopigwa maswali kwenye bunge lao, hutotamani hiyo nafasi.​
Wanatoa demands kubwa sana kwa Waziri Mkuu mpaka anaona uongozi ni mzigo. Wanabadilisha sana Waziri Mkuu hawana muda wa kumsubiri mara sijui anashauriwa vibaya, mara wanamkwamisha.

Cha ajabu sana nilichowashangaa, walimchagua Winston Churchill kuwa PM kwenye vita ya pili ya dunia kisa tu alikuwa critic wa sera ya appesament. Alifanya vizuri sana kwenye vita, ila vita ilipoisha hawakumchagua immediately kwa sera alizotangaza. Walijua ni mzuri kwa uongozi wa kivita ila uongozi baada si mzuri maana unahitaji rebuild up ya nchi. Kisha akachaguliwa tena miaka michache baadae.
 
Ndicho nilichosema kwenye uzi, bunge lao likipitisha muswaada fulani leo hiyo tayari ndio katiba katika hilo jambo na mwaka unaofuata wakiuondoa huo muswaada hapo tayari ndio mabadiliko ya katiba yameshafanyika na maisha yanaendelea bila matatizo, jaji akitoa hukumu leo hiyo hukumu tayari ndio inakuwa sehemu ya katiba na itazingatiwa na raia wote pamoja na serikali kama muongozo bila shida.
 
Mkuu ulishawahi kusikia uchumi wa japan kuwa stagnant? Haimaanishi wana uchumi mdogo ila haukuim Uingereza wanatapatapa sasa. Yes, wanagawa misaada ila ukisoma taarifa na statics za vyanzo mbalimbalinkama bloomberg uchumi wao haufanyi vizuri matatizo yamekuwa mengi na ndio maana hata PM wao hawakai kila anayeingia anashindwa tatua matatizo.
 
💥💥
 
1. Israel
2. New Zealand
3. Saudia Arabia

Zote hizi hazina katiba rasmi
 
Waingereza wao kufanya mabadiliko ni wakati wowote, wakishaona tu maoni ya raia wengi majority ni muelekeo fulani wataitisha uchaguzi, kura ya maoni au mtu atajiuzulu. Hakuna kusubiria na janjajanja za huku na kule.
 
Tangu 1700's mawaziri wakuu wa Uingereza kukaa mwaka mmoja tu au hata chini ya mwaka mmoja madarakani ni jambo la kawaida.
 
Tangu 1700's mawaziri wakuu wa Uingereza kukaa mwaka mmoja tu au hata chini ya mwaka mmoja madarakani ni jambo la kawaida.
Si kwa mtifuano wa sasa.Akina tony blair wamekaa sana, david cameron ila baada ya brexit mambo yakawa si mambo. Kwa sasa kuna taarifa kuwa inataka kurejea kuwa member wa EU ila EU imesema watakuwa wanachama wa kawaida kama wengine bila exclusivity mfano alivyopewa kukeep pound badala ya kubaki na eur
 
Huijui Historia ya Uingereza, mawaziri wakuu wengi zaidi wa Uingereza wametumikia chini ya kipindi cha miaka mitano tena huko 1800's na 1900's. Kurejea EU wala sio shida kwa Uingereza kama raia wake wengi wanataka, wao reforms ni muda wowote kama kunywa maji vile.
 
Mkuu walikuwa wanang'atuka lakini wengi sio chini ya miaka mitano... Ila sasa wengi ni miaka kitatu wengine miezi kuna yile mama alikaa siku 45. Yani after 2010 na hasa baada ya brexit mambo si mambo
 
Despite not having a written constitution, wameweza kudumisha order, justice, and democratic maturity kwa karne nyingi. Hii ni clear sign ya deep-rooted civilization and political discipline
 
Nchi za ulaya kustarabika kiasi hiki tunachokiona leo sidhani kama ni accidentally.
Watakuwa wamepitia magumu mengi ambayo yamewafanya kuheshimiana sana.

Sisi huku kiongoz anadharau walio chini yake.
Viongoz wanadharau raia kias cha kutoamini maamuzi yao hasa kwenye chaguzi.

Huku bado tunadharuliana na kuuana kwa tofauti za kisiasa, kidini, kikabila.
#Wazazi wanawadharau watoto wao.

#Walimu wanawadharau wanafunzi wao wrnyewe eti hawana kitu kwamba elimu ilikuwa zamani.

#Askari wanawadharau wananchi.
#Hapo awali wasomi walkuwa wanawadharau wasio na elimu, saiv hilo linakufa kwa kasi sans, heshima imeanza kuingia ktk hili.
 

Ni maendeleo makubwa kuongozwa na mawaziri mashoga , au vipi Mkuu??

Johnson has LGBT 'blind spot', says first openly gay cabinet minister​


Creator: BBC

 
Despite not having a written constitution, wameweza kudumisha order, justice, and democratic maturity kwa karne nyingi. Hii ni clear sign ya deep-rooted civilization and political discipline
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…