Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Labda bado mna miaka mingine mia mbeleni.
Miaka Mia tu? Waulize Haiti wana uhuru wa miaka zaidi ya 200 na bado ndiyo kwanza hawajaanza hata kujitafuta. Liberia nao ni hivyo hivyo. Hizi nchi mbili zinaongozwa na jamii za watu weusi kama sisi na ccm yetu.
Uongozi wa mtu mweusi popote ni kama laana, hauleti mafanikio zaidi ya ufisadi, wizi, mauaji, rushwa, upendeleo na uharibifu wa hata vile vichache vilivyopo.
 
Unaelewa nini kuhusu unwritten katiba ?
 
Ndio maana mashoga wameshamiri
Sisi hatuna mashoga ila mbona watu na viongozi wetu hawana akili?

Kila ugunduzi mpya unafanywa na hawa hawa tunaosema ni mashoga. Na sisi bila aibu tunapokea gunduzi zao, technolojia zo bila kuhoji juu ya ushoga wao.

Kwa kufanya hivyo siyo kwamba na sisi tunasapoti ushoga indirect? Kwa nini tusigomee kabisa bidhaa na technolijia zao kama simu, madawa, vyombo vya usafiri kama ndege, gps, computers, internet n.k?

Tuwagomee wakose hela za kuendeleza mambo yao ya kishoga

Pia kwa nini hao tunaowaita mashoga nchi zao zinamaendeleo kuliko sisi tunaosali sana na kuamini mungu?
 
Wanasema wale waliokuwa wanashiriki ile midahalo kipindi kile Nkuruma House UDSM, kina Jenerali Ulimwengu na wenzake, ni kwa kuwa walikuwa wanasomeshwa na kulishwa bure kwa hiyo walikuwa na muda wa kulumbana halafu wanaenda kula messi na kulala....
Kweli uzalendo haupo.
 
Kwa hiyo Uingereza ni bora kuliko Marekani?
 
Ndio, tena kwa mbali sana. Tatizo Marekani ina raia wengi sana wajinga karibia 40%.
Uingereza kwa Sasa ni tegemezi mno kwa Marekani kiulinzi na hasa kwenye sera zake za nje ......ni kama kibaraka tu wa Marekani.

T14 Armata
 
Uingereza kwa Sasa ni tegemezi mno kwa Marekani kiulinzi na hasa kwenye sera zake za nje ......ni kama kibaraka tu wa Marekani.

T14 Armata
Uingereza imtegemee Marekani kiulinzi dhidi ya nani au adui gani hasa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…