Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

Vilaza hawawezi kukuelewa
Kikubwa tujifunze huku kwetu uwajibikaji , Viongozi hasa Ministers wanachukua hatua gani, pale mambo yanapowazidi kichwa?. Kule swala la Tozo lingemuondoa mtu..huku kwetu ndy kwanza mtu akilalamikiwa ndy kitambi huongezeka.
 
kwa hiyo naye anahesabiwa ni mstaafu na anakula pension ya PM mpka kufa kama ilivyo bongo?
 
Kuna movie moja inaitwa 'Wrong turn 'ni balaa hii movie.. hawa ndugu waende tu kwa Putin wakaongee awaonyeshe njia sahihi ya kutoka hapo walipo wasione aibu.
 
Kama wanajitambua ilikuaje wakamchagua kiongozi na baada ya siku 45 tu anajiuzuru? Walibahatisha bila kumjua kwa kina mtu walio mchagua?
 
Mbona huku Kiongozi anaambiwa kabisa hii ni kashfa na umepwaya kwenye nyadhifa hii
Jiuzuru
Ila bado anakatalia madarakani?
si tuige mfano wa hao UK?
Japo nao wana mapungufu yao ila katika hili wapo vizuri sana!
 
Toa utumbo wak hapa inahusianaje mambo haya na putin, putin mwenyew taaban hana jeshi hana silaha anakodi silaha kutoka Iran ata mwaka vita haijafika kajichokea nafsi yake
Kwa hili povu dawa inafanya kazi
 
Sisi huku tz nchi inapekwapelekwa tu bila dira na hakuna anayejiuzulu zaidi ya kusifiwa tu na wapampe
 
Sasa kwa taarifa yako hiyo siyo ishara ya utimamu. Ni dalili za disfunctional political system. Ni vile tu kwamba washajijengea jina kubwa na historia kama british empire na nyie mnaona kila ujinga wao ni ustaarabu kwenu.
Illiterates kama nyie ndio mnaofurahiwa na CCM, na ndio maana mnakanyagwa , mnakula virungu, na tozo juu kwa sababu wanajua kuna mang.ombe wengi wa kuswagwa na kuingizwa kwenye zizi na fimbo juu.
Na hata wakiboronga vipi hawatoki na hamna cha kuwafanya...ndio tunaitwa nchi za dunia ya tatu, wakati hata hakuna nchi za dunia ya pili kwa jinsi ya idadi kubwa ya kuwa na mbululu wa kuchezewa akili kila siku..
 
Kujitambua ndo viongozi wao wanajiuzulu kila siku?

RUSSIA kamatia hapo hapo

Wapi mk254 aje kwahuku aone putin effect inavyowafagia

Nikikumbukaga wale walokua wanasema Putin atatolewa madarakani na raia wake sasa yamekua kwao wenyewe.
Nyinyi mbulula , hivi mnajua hata ni sababu gani imemfanya ajiuzuru...au mnashoboka na putini kwa jinsi ya ufinyu wa kuelewa siasa za UK...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…