Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwasababu wanalinda taifa lao jengineIsrael wapo vizuri kwenye calculation zake kama ameweza kuwashawishi mataifa makubwa ulimwenguni yawe upande wake licha ya yote anayoyafanya....imefika mahali mataifa makubwa yanaona usalama wa Israel sio suala la kujadiliana bali ni kutekeleza
MAGAIDI WANATAKIWA KUUAWA TU KAMA WANAVYOUA WENZAO HILI HALINA MJADALA.Germany, france, uk na marekani kwenye vita siku zote wana makubaliano ya kusimama pamoja kwahiyo hilo sio geni
Walishiriki kutunga uongo wakaisambaratisha iraq, libya etc nothing new iran akianzisha vita na israel wataungana kuondoa regime iliyopo ili waitawale iran kwa kuweka mtu wanayemtaka wao kwa maslahi yao, after that yale mafuta na resources zote ni za kwao dunia ndio ipo hivyo, ila kuna muumini wa nwamposa akishashiba kande anakwambia wanauliwa kwakuwa magaidi , watanzania tuna tatizo kubwa especially misingi yetu ya elimu ni poor ,ukifuatilia mijadala humu utaona wengi ni zero brain wanaongea ujinga ujinga tu they cant reason at all
Duuh huu ujinga mlomezeshwa kuutoa kichwani mwenu inahitajika kazi haswatangu vita ile,ujeruman inaogopa au haipendi kujihusisha na vita zisizokua na tija au za lazima. hawataki kuvuluga uchumi wao.
mimi naamini akili za muyahudi mmoja sawa na akili za wajerumani 1000.
ukumbuke muyahudi mmoja aliyetoloka vita wakati wa vita ile ndio aliehamia marekan na ndie alietengeneza nyukilia iliyoteketeza wajapani na kuisimamisha vita ile ya dunia.
hatakama kunaukweli wa wajeruman kuwepo huko ila naamin wayahudi ndio wanaiongoza ujerumani ya leo.kisayansi na tamaduni.
Ni vita ya kusurvive na kujilinda, hilo neno gaidi limewekwa kuwakandamiza tu watu fulani lisikuchanganye sana, hata mandela wakati anatetea taifa lake aliitwa gaidi na aliwekwa kwenye list ya magaidi na nchi za magharibiIla Kusema ukweli Iran wanasapoti Magaidi hilo usikatae mkuu
Hivi nini kinachodhibitisha ardhi zote ni wapalestina?Maamuzi hayo yangekuwa ya kijinga sana wakati ardhi zote ni zao na kwa inavyojulikana Israel haiwezi kuridhika na hilo wangeendelea kuwaibia kila kitu,
Hayo mengine wala hawakusubiri ushauri wako.
Kaangalie ramani iloundwa baada ya israhell kupewa ardhi ya watu mwaka 1948Hivi najiuliza,kama Hamas wangewaachia mateka.Wakaacha kurusha maroketi.Wakajikita kujenga miundombinu,elimu,teknolojia.Wakawa wanaenda kuswali Al Aqsa bila fujo.Wakaanzisha majadiliano ya kibiashara na kidiplomasia na Israel.Shida ingekuwa nini.
Sema waarabu miyeyusho wangeungana wote na Israel aungane na washirika wake pawake moto mshindi apandishe benderaKwasababu wanalinda taifa lao jengine
Israhell imeundwa na watu kutoka ulaya ndio maana hua wapo tayari kulilinda kwa gharama yeyote
Taifa la israhell ni hewa tu
Kuundwa kwa israhell mwaka 1948Hivi nini kinachodhibitisha ardhi zote ni wapalestina?
Waarabu hawawezi wenyewe kwa wenyewe wanageukanaSema waarabu miyeyusho wangeungana wote na Israel aungane na washirika wake pawake moto mshindi apandishe bendera
usiwe mwepesi kutoa lugha za kejeli. weka hapa vikwazo au mashariti hata vitatu walivyowekewa tangu miaka ile kabla ya hata tamko la haki za binadamu, halafu nikueleweshe tofauti ya vita za wakati ule na sasa.Duuh huu ujinga mlomezeshwa kuutoa kichwani mwenu inahitajika kazi haswa
German sio haipendi kujihusisha na vita ila baada ya kupigwa vita ya pili waloshinda vita wakamuekea masharti yeye na JAPAN wanaishi humo ndani ya hayo masharti
Yaani lazima wazingatie hayo sio kama hawapendi
Ila kwasasa ndio wanajitutumua kwakua dunia inaendeshwa kinafiq nafiq tuuu
Ardhi kisheria inapatikana kwa njia mbili , moja ni mikataba ya kimataifa ya mipakaHivi nini kinachodhibitisha ardhi zote ni wapalestina?
Una akili za wapi we jamaa ..yaani Jew mmoja ni sawa na German 1000tangu vita ile,ujeruman inaogopa au haipendi kujihusisha na vita zisizokua na tija au za lazima. hawataki kuvuluga uchumi wao.
mimi naamini akili za muyahudi mmoja sawa na akili za wajerumani 1000.
ukumbuke muyahudi mmoja aliyetoloka vita wakati wa vita ile ndio aliehamia marekan na ndie alietengeneza nyukilia iliyoteketeza wajapani na kuisimamisha vita ile ya dunia.
hatakama kunaukweli wa wajeruman kuwepo huko ila naamin wayahudi ndio wanaiongoza ujerumani ya leo.kisayansi na tamaduni.
Jitahidi uende shule usikubali ukaja ukaacha kizazi cha aina yakoMAGAIDI WANATAKIWA KUUAWA TU KAMA WANAVYOUA WENZAO HILI HALINA MJADALA.
Vita ya Wapalestina na Israel ni ya karne na karne! Hata kabla Hamas hawajateka hao mateka bado walikuwa vitani na Israel.Hivi najiuliza,kama Hamas wangewaachia mateka.Wakaacha kurusha maroketi.Wakajikita kujenga miundombinu,elimu,teknolojia.Wakawa wanaenda kuswali Al Aqsa bila fujo.Wakaanzisha majadiliano ya kibiashara na kidiplomasia na Israel.Shida ingekuwa nini.
Kejeli iko wapi ujinga sio kejeli ni kutokujua mambousiwe mwepesi kutoa lugha za kejeli. weka hapa vikwazo au mashariti hata vitatu walivyowekewa tangu miaka ile kabla ya hata tamko la haki za binadamu, halafu nikueleweshe tofauti ya vita za wakati ule na sasa.
mimi sina mahaba kabisa na wayahudi..ni mmoja ambae nswachukia sana hawa viumbe wayahudi.ila nazunguzia kile kilichotokea wakati ule.tafuta sababu kwanini vita ile walilengwa wayahudi.Una akili za wapi we jamaa ..yaani Jew mmoja ni sawa na German 1000
Ebu punguzeni mahaba na Jew maana mnaongea vitu vya kitoto afu watu wazima
Nawewe ni pia mjinga kwanini uweke nguvu na umuhimu kwa haoGermany, france, uk na marekani kwenye vita siku zote wana makubaliano ya kusimama pamoja kwahiyo hilo sio geni
Walishiriki kutunga uongo wakaisambaratisha iraq, libya etc nothing new iran akianzisha vita na israel wataungana kuondoa regime iliyopo ili waitawale iran kwa kuweka mtu wanayemtaka wao kwa maslahi yao, after that yale mafuta na resources zote ni za kwao dunia ndio ipo hivyo, ila kuna muumini wa nwamposa akishashiba kande anakwambia wanauliwa kwakuwa magaidi , watanzania tuna tatizo kubwa especially misingi yetu ya elimu ni poor ,ukifuatilia mijadala humu utaona wengi ni zero brain wanaongea ujinga ujinga tu they cant reason at all
Sasa hapo mwenye brainless nani, maana haingii akilini kumfananisha mtu moja kwa watu 1000 duuh...Ona huyy brainless mwingine, unaubongoooo au tope kichwani?
Maslahi gani ?