Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

Mimi nahisi hata huyu Rais wa iran labda ni pandikizi
Kwanini Raisi alipokufa tu na huyu kuteuliwa mauwaji yakaanza kwa kasi kwa viongozi wengi wa Hamas?

Hii vita ya Iran na Israel sidhani kama itatokea maana mpaka sasa hatujui nyuma ya pazia wanaongea nini na Iran na Israel kwa makubaliano yapi

Mazungumzo ya chini na vitisho huenda yapo kwa maslahi yao
Tusubiri tuone
 
Sikatai Iran analinda mipaka yake na rasilimali zake ila kuna watu wananguvu zaidi yako wanakuvamia na huna sapoti ni bora ukawa mpole maana utachakazwa tu kama Iraq.Saudi arabia sio mafala wanajua kula na kipofu.
 
Sikatai Iran analinda mipaka yake na rasilimali zake ila kuna watu wananguvu zaidi yako wanakuvamia na huna sapoti ni bora ukawa mpole maana utachakazwa tu kama Iraq.Saudi arabia sio mafala wanajua kula na kipofu.
Ukweli ni huo huwezi kupigana na nchi za magharibi ambazo zina mikataba ya kupigana kwa pamoja its impossible ,iran hawezi kushinda vita hivyo
Uk, marekani, france,italy ,germany spain etc
Huwezi kupigana nao kwanza wana budhet kubwa sana za silaha na vita, huku iran kawekewa vikwazo kwa zaidi ya 50 years
Ussr ishasambaratishwa atleast ilikuwa threat kwa nchi za magharibi ,russia wanamchosha kwa vita na ukraine ni ngumu kuja kuisaidia iran successfully ,sioni iran akitoboa
 
Sikatai Iran analinda mipaka yake na rasilimali zake ila kuna watu wananguvu zaidi yako wanakuvamia na huna sapoti ni bora ukawa mpole maana utachakazwa tu kama Iraq.Saudi arabia sio mafala wanajua kula na kipofu.
Ila nao iran kama ni kisasi wasingeongea bali wangewatafuta waisrael wanaoona wana umuhimu kwao na kuwa eliminate kimya kimya hata kama wapo nchi gani

Badala ya vita
 
Iran kusapoti ugaidi ndio sawa!!!
 
Ndugu Israel nilikuwa nawambia siku zote hapa hawa wafuasi wa Paulo hajawahi pigana na warabu bila kusaidiwa na America. Western na nchi za kiarabu haswa hio Jordan ndio alikuwa akitoa siri vipi warabu wamejipanga. Siku hizi nchi ambazo zilikuwa zinamuita Israel adui, wa kwanza UAE ndio kawa kipenzi kikubwa cha Israel. Saud Arabia siku zote yuko na Israel isipokuwa yule King Faisal ndio alikuwa hayuko kabisa na Israel wakamua kwa kutumia mtoto wa ndugu yake hao America.

Sadat aliwahi kusema mimi sipigani na Israel napigana na America, UK, France, Italy, Germany na mataifa mengi tu ya ulaya, warabu wakamkasirikia ukweli ndio huo Israel kapandikizwa tu lakini hapigani yeye.

Wachana nao hata wajikusanye Europe nzima siku hizi ni Missiles na Drones ndio zinaongea. Zamani waliwaonea warabu na waislam kila kitu kilikuwa kinatoka kwao, siku hizi Missiles na Drones warabu na Waislam wanatengeneza wenyewe.

Afu usitishike na mbwebwe zao hao America na Western wakisukumiwa Missiles huko Germany watandamana hawamtaki chancellor
 
Ila nao iran kama ni kisasi wasingeongea bali wangewatafuta waisrael wanaoona wana umuhimu kwao na kuwa eliminate kimya kimya hata kama wapo nchi gani

Badala ya vita
Wa iran ni wabishi wale jamaa maana kwa vikwazo walivyo wekewa ingekua nchi lege lege ingekua imejichokea km somalia.Naona kwa sasa wamechoka wameamua lolote liwe wamechagua vita.Mm nauhakika Iran itachapwa vibaya sana.
Atoboe wapi Iran🤣🤣naona waajemi wamechoka tu wameamua liwalo na liwe na wanajua kabisa outcome yake ila naona wameona bora gari liende.Si mda mrefu oale Iran patakua na magofu ya kutosha kama syria.
 
Iran ina nini cha ziada, Iraq ilisifiwa kweli mpaka tukajua huenda ikaitawala dunia . Cha ajabu siku 23 watu wako Bagdadi. Baada ya miezi nane mzee akafukuliwa kwenye shimo chafu. Nilijiuliza maswali mengi.

China na ukubwa wake na uchumi mkubwa hajathubutu kunyanyua kifua kwa wakubwa. Ogopa nchi haina hata uwezo wa kutengeneza spare part ya ndege au helcopta na viongozi wake wanategemea nchi za magharibi ambao ni mahasimu wake.

Tusishabikie vita . Iran itulie kama China ilivyotulia. Isijiingize kwenye kutafuta kuwa superpower Asia kwani itapotea mazima. Wana nafasi ya kukua kama watatuli na kujiimarisha kitechnolojia
 
Israel aendelee tu na operation zake maana hakuwahi kupendwa na maadui na wala hato pendwa hata akiwaonea huruma maadui zake.. issue ya kusimamisha vita ni maadui tu wamezidiwa huruma za Israel hazitomsaidia zaidi watajigamba kuwa Israel kazidiwa.. wahuni si watu wazuri
 
Hivi najiuliza,kama Hamas wangewaachia mateka.Wakaacha kurusha maroketi.Wakajikita kujenga miundombinu,elimu,teknolojia.Wakawa wanaenda kuswali Al Aqsa bila fujo.Wakaanzisha majadiliano ya kibiashara na kidiplomasia na Israel.Shida ingekuwa nini.
Wangekua wanaenda kinyume na maagizo ya mtume na kile kitabu chao, maana wameagizwa kuuwa wayahudi popote pale walipo.
 
Iran sio nchi ndogo
Kimbuka iran ni mara mbili ya population ya Iraq lakini Iraq ilivamiwa na dunia nzima, nchi kubwa zote zilimchangia na ardhi za waarabu wengine zilitumika pamoja na bahari zao kwa manowari kubwa kubwa

Iran kama unavyoona German ameongea kuhusu kumtetea Israel kwani wanajua wakiwaacha wawili watamalizana vibaya
Jordan anasema atatungua makombora yanayoenda israel ila haoni kuwa vita itageukia kwake na makombora yatashuka kwake na uchumi wake kudorora
Mkuu vita sio mchezo hata wao wazungu wanajua uchumi wa Dunia utayumba ingawa kuna wakati Raisi wetu mmoja mstaafu aliwahi kusema sisi hayatuhusu kiuchumi ila yaliyotokea aliona aibu kulipngelea tena
 

Kwani yule mungu wao aliyewateuwa yuko wapi ?? au mungu wapo mpya ni mmarekani , muingereza na mjerumani ??
 
German anajuwa kuwa hao wayahudi itabidi warejee kwao Ujerumani walikotoka ndio anaanza kuwa na wasiwasi
 
German anajuwa kuwa hao wayahudi itabidi warejee kwao Ujerumani walikotoka ndio anaanza kuwa na wasiwasi
Wote wanahaha na wengi sana wameondoka israel na kuyakimbia makazi yao mda mrefu
Wengi walikuja toka USA walipoahidiwa nyumba na mashamba ya bure walionyang'anywa wapalestina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…