Uchaguzi 2020 Ujio wa Tundu Lissu utatufanya tukapige kura

Uchaguzi 2020 Ujio wa Tundu Lissu utatufanya tukapige kura

Kabisa......... TUNDU LISSU is missed so much
 
Akija nitaenda kupiga kura, asipokuja hata sipotezi mda wangu
 
Hivi hao wapiga Kura gani mnawazungumzia. Tz Hii Ni ya JPM. na kuongea kwenu kunadhihirisha Hilo. Hakuna anayehangaika na maiti. Ukiona unajitungia maneno ujue Ngoma nzito. Lissu hawezi kushinda hata kula 2 Mbili. Nyie Ni Kundi lile la watoto wa secondary wanamchgua kiongozi kwa kuwa walimwona kabishana na mwalimu wa nidhamu. It’s more than that.

Lissu atalipaje ukarimu wa wazungu . Hakuna cha bure wakuu. Na Hakuna zaidi ya uchumi duniani. So ukiskia unapendwa mwanamume kaza mkanda. Ukiona Museveni hawamgusi ujue anajua kula nao. So always ukiona unapendwa sana na wazungu. Jiulize wameona Nini nyuma huko. Niko ulaya mwaka 14 sasa. Najua nachoongea.
mwaka 2020 kweli unakuja na propaganza za kichina na kirusi wenyewe wameondoka huko maana wanajuwa wazungu ni mali,ndio Maana magufuli anajuwa hilo na wazungu ni rafiki zake maana ndio wanatoa fedha za dawa ,shule wanamkopesha fedha za miradi mikubwa anayoiendesha sasa basi acha ujinga na propaganda mfu
 
Kuwa msaliti hakuhitaji mda mrefu! Anaweza alifanya mema mwanzoni ndiyo, lakini tangu 2015 amekuwa msaliti. Hivyo, mema yake yote ya nyuma yamefutwa. Na sasa ni msaliti.
msaliti ni Magufulialibadilisha mfumo wa utawala wa amani na heshima ya nchi Tanzania nakuigeuza lindi la damu za watu, akitupa watu mitoni maziwani na baharini wengine akilisha mamba ndio msaliti haijapata kutokea utawala uliofanya mauaji ya wazi kama huu wote tuliona kwa macho
 
Ndugu Mleta mada, Ujio wa Tundu Lissu ni furaha ya kila Mtanzania. kwani ni Mwana wetu na Mtanzania mwenzetu. Inasikitisha sana watanzania tunapo jidhadhalilisja na kumtukuza mtu mmoja, na katika ARENA ya kisiasa Tanzania na Africa, tuna tabia ya kumtukuza mtu.

Mfano Baada ya uhuru kupatikana , Tulimtukuza Mwalimu pekee, ili hali kuna wengi waliomtangulia kupigania uhuru na waliokuwa nae ambao hadi leo hawajulikani. Chadema ama Upinzani kuna wengi walikuwa na uwezo mkubwa wa kufanya mengi ya ukombozi au maendeleo, lakini hatuwaoni kwa sababu ya mila ya kujenga MIUNGU WATU " MAHALI UMCHUKUAPO MMOJA , UNAWAACHA WENGI WAZURI". Tushukuru ndugu Lissu Mola aliimpa uwezo wa Maisha yake kuendelea, Jee alipopigwa Marisasi ingekuwa siku yake, jee unamaanisha leo musingekuwa na wakumikombowa.

Vijana huu ni wakati wenu kuweni na busara za kuweza kuwa na misimamo ya kujitegemea badala ya kujenga MIUNGU WATU, Kama Vijana wa Chadema mnao vijana wazuri kama akina Mnyika, Esther, Sugu, Nyalandu,MSigwa na kadhalika, kwanini hawa wasifae kuwa vinara wa ukombozi wenu, au wasiwe watu mnaoweza kuamka Alfajiri kwenda kuwapigia kura.

Wacheni kujidhalilisha
mbona nyie Magufuli munamwita mtukufu unaona wivu na wengine wakiwa na wao mbona mumewafukuza watu uwanachama waliotaka kugombea uraisi kama akina Membe
 
Hivi hao wapiga Kura gani mnawazungumzia. Tz Hii Ni ya JPM. na kuongea kwenu kunadhihirisha Hilo. Hakuna anayehangaika na maiti. Ukiona unajitungia maneno ujue Ngoma nzito. Lissu hawezi kushinda hata kula 2 Mbili. Nyie Ni Kundi lile la watoto wa secondary wanamchgua kiongozi kwa kuwa walimwona kabishana na mwalimu wa nidhamu. It’s more than that.

Lissu atalipaje ukarimu wa wazungu . Hakuna cha bure wakuu. Na Hakuna zaidi ya uchumi duniani. So ukiskia unapendwa mwanamume kaza mkanda. Ukiona Museveni hawamgusi ujue anajua kula nao. So always ukiona unapendwa sana na wazungu. Jiulize wameona Nini nyuma huko. Niko ulaya mwaka 14 sasa. Najua nachoongea.

Waambie ccm wakusomeshe Kwanza
 
Wamtoneshe tena mguu uleule wa kushoto maeneo ya kwenye paja.
 
Msaliti - Lissu is a Sellout and sellouts have to be necklaced. Yaani wamvishe tairi la gari na uwashwe moto - Sellout
sellout ni usalam wa taifa polisi ambao wameruhusu nchi imeingizwa kwenye lindi la damu dhuluma ukatili wa kutisha na wizi usiomithirika na umaskini uliotopea kwa wananchi
 
Juzi nikamwwmbua bibi yangu kwamba yule mbunge ambaye alipigwa risasi akapona anataka kugombea urais. Bibi alishangazwa sana na kusema yeye binafsi anamsubiri arudi Tz amuone. Kura yake ni kwa lissu. Nakuhakikishia wengi watampigua lissu
 
Vijana karibia wote tukoupande was huyu mwamba,haiwezekani miaka mitano ya utawala hakuna ajira bora aje jamaa ampe ushindani
 
Aje atuondolee ukomunist,na Monopoly.Sote ni wapangaji sawa equal chance wa dunia hii,
 
Kwa kuanzia, kazi hii aliyoifanya huko nyuma, na ambayo watu wengi hawaifahamu, inafaa itengenezewe namna ya kuieneza hata kabla ya kampeni hazijaanza.

Tundu Lisuu amedhalilishwa sana na wapuuzi, kwa kupachikwa neno 'Msaliti'. Hili linatakiwa lifutwe kabisa kwa kuonyesha kazi ngumu sana aliyokuwa akiifanya katika kuwatetea wanyonge hata kabla ya kuwa ndani ya siasa.

Kazi ya kutengeneza namna na kueneza habari hii inapaswa ifanyike kitaalam kuvuta hisia za mwanchi wa kawaida awali kabisa ya kampeni.
Itafanyiwa kazi chief. Tunashukuru kwa ushauri
 
Lissu ni tumaini pekee lililobaki kwa watanzania.

Tulimuombea akapona Mungu amembariki.

Nakumbuka tar 7 na tar 8 ya sept 2017 nilifanya maombi ya nguvu. Nilijifunza namna ya kumwomba Mungu niki refer maombi ya Nabii Eliya Mtishibi wa israel alivyomwomba Mungu atake asitake atimize matakwa ya Eliya.

Kuna namna ambavyo ukiomna ni lazima Mungu atimize.

Sifa , Heshima na Utukufu vimurudie bwana Yehova
Hii ni thread ya malofa kupunguzia stress
 
Back
Top Bottom