Ujumbe kutoka Tundu Lissu kwa wote wenye mapenzi mema

Nina hakika huyu harudi leo wala kesho, bongo hii.
 
Hapa nami kuna jambo naliona kama mtego kwa Chama dola lissu akifika mshindeni kwenye sanduku la kula na si kumgasi ,mkijalibu MWAFAA tena ikiwezekana mpeni ulinzi madhubuti yani hata mbu usimsogelehe ,ila sina shaka na hili maana najua wapo watu hapa tz wanaelewa zaidi nilisemalo kuliko mimi.na najua kama lisu anafika watachukulia hili kwa umakini wa hali ya juu ,Tanzania kwanza ushabiki wa vyama badae
 
Lissu anajua anachokifanya
 
Kweli Hana dira,maisha ya wtz milioni 56 yabebwe na mstakabali wa mtu mmoja,ilani ya chama atakachogombea kiwe kushambuliwa kwa Lissa,duhhh ,magu piga kazi hata uchaguzi uwe kesho asubuhi wewe Ni presidaaaaa
Kazi inayopigwa wakati Dar hakuna maji ya bomba
 
Ndio ndio Tundu ukifika Tz ndio mambo yatanoga hahaha yaani hapo hujafika lakini watesi wako washapagawa mara waseme unataka kulipiza kisasi hi hihihi.Tundu kumbuka wewe umebatizwa kwa moto means you are amazing,you are incridible,you are number one hata waliyokubatiza hawawezi kulegeza gidam za viatu vyako.wao ndio wamebaki kulialia ili waonewe huruma.
 
Tundu siku zako za taabu zipo ktk kumbukumbu za wazalendo wote wa kweli hapa nchini. Uliumizwa hali bado ukilipigania kwa umahiri taifa lako, Mama Tanzania.

Wahuni walitaka kukupoka kwa ufedhuli wasifu wako uliotukuka wa mzalendo wa kweli, ili MBWA mwitu aichukue kwa hila nafasi yako, ambayo kwa uhakika haina mfanowe ktk hiki kizazi cha sasa hapa nchini. Angalizo tu muhimu kwako, bado wanaitafuta kwa hali na mali roho yako yenye thamani kubwa mbele za Mungu na hata kwa Watanzania wote wenye mapenzi mema, ili wakapate kumfurahisha yeye yule ambaye anawatuma.

Kama itakupendeza, kikombe hiki kwa mwaka huu wa 2020 kiepuke na mpishe mwingine, ambaye kwa kauli thabiti utatamka kumuunga mkono. Na kwa kuzingatia bado una umri wa kuweza kulitumikia taifa letu, basi siku za mbeleni utapewa fursa hii adimu ya kuwa Rais wa JMT. Mungu akubariki sana.



 
"Wakifanya hivyo basi kampeni yote ya mwaka huu itakuwa juu ya kukamatwa kwangu" - Tundu Lissu.
Hawana ajenda ndo maana wanasubiri tukio lolote litokee wapate ajenda ya uchanguzi, eti kampeni yote ajenda itakuwa kukamatwa Lissu! Hawa watu bure kabisa.
 
Mi nasema tundu lisu kama anakuja aje! Asizani serikali inataka imuweke mahabusu. Bola ya mahabusu au kufungwa!
Sisi wananchi ndio tunahasira nae yakufa mtu! Ametuchafua sana watanzania kwahao wazungu wake.
Aje! Aone hasira za wananchi wadogo wadogo.

Wananchi wanakusanya Mawe kwa ajiri yake.
Haijalishi yupo ndani ya gali au ndani ya nyumba.
Atapopolewa huko huko
 
Aje apambane na Hali yake mipasho haitamsaidia
We need an intelligent incumbent kama Tundu Lissu ambaye anaongea strategies na future plans za nchi, sio anayepiga mipasho kila akisimama jukwaani.
 
We need an intelligent incumbent kama Tundu Lissu ambaye anaongea strategies na future plans za nchi, sio anayepiga mipasho kila akisimama jukwaani.
Atulie tu huko kwa mabwana zake Belgium,hatuna shida nae traitor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…