Ujumbe kutoka Tundu Lissu kwa wote wenye mapenzi mema

Mawazo yake anahisi risasi alizopigwa ndiyo zitamuungiza Ikulu. Tanzania ya sasa si ya miaka mitatu iliyopita.
Mkuu Ni bahati mbaya kwamba watu wengi tumenyimwa elimu Ila kwa nafasi ya urais wa nchi yetu Lissu is far better than Magufuli
 
Mwambie sasa aache kulia lia kwamba akikamatwa wazungu watajua hivyo ccm isijaribu kufanya hivyo

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Watanzania wangekuwa na akili Kama zangu basi hao police watakao tumwa kumkamata tungeanza nao huku tutafuta huo ujeuri wa magu ulipo
 
Utaongea ukiwa mahabusu?
Kweli kusoma siyo kuelimika!
 
TUNAKUSUBIRI
 
Ni kweli mkuu,Ila siku Mungu akitupa ujasiri wa kubweka hata maeneo mengine,Kuna watu kabla ya kumfanya chochote inabidi umpumlie kwanza kichogoni bila kujari una ndomu au hauna
Na bado utapanic sana,! Oktoba ndio hiyo mnasubiriwa ccm iwapige madole

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Na bado utapanic sana,! Oktoba ndio hiyo mnasubiriwa ccm iwapige madole

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mkuu Mimi Wala sijajiandikisha kupiga kura,mie siye mwanachama wa chama chochote Ila siipendi ccm na ikitokea vuguvugu lolote la kuiondoa ccm madarakani kwa nguvu count me in
 
Dick head yaan kampeni upige kuongelea kukamatwakwako. Hivi serikali ya sasahsiogopi unajua
 
Mkuu Mimi Wala sijajiandikisha kupiga kura,mie siye mwanachama wa chama chochote Ila siipendi ccm na ikitokea vuguvugu lolote la kuiondoa ccm madarakani kwa nguvu count me in
Washabiki wa Lisu bhana! Kumbe hata kitambulisho cha kupigia kura huna, sasa atashinda vipi huyo Lisu?

Alafu akiona mnavyopiga mayowe humu basi anavimba kichwa kumbe hata mapango wa kupiga kura huna!

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Kweli Hana dira,maisha ya wtz milioni 56 yabebwe na mstakabali wa mtu mmoja,ilani ya chama atakachogombea kiwe kushambuliwa kwa Lissa,duhhh ,magu piga kazi hata uchaguzi uwe kesho asubuhi wewe Ni presidaaaaa
Kwa ufikiriaji kama huundio maana kama nchi tupo hapa tulipo "maskini tajiri"..
Paragraph chache za Lissu unashindwa kuzielewa kiongozi😃😃😃...kuwa kuna action zikifanyika huwa zinaleta gumzo, sasa umechukulia literally kuwa atageuka hicho ulichokiita "ilani".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…