Umenena ukweli mtupu. Unaangaika na binti kumbembeleza nikuoe akiwa na age ya around 23 to 27 anaringa kisa bado anajiona mdogo. Akifikisha 30+ anaanza kuangaika na waganga kutafuta ndoa.Nasikitika mabinti wengi hawatamwelewa huyu mchungaji.....wa siku izi washaeka mbinu zao akilini kwa ajili ya kuolewa, kujirahisi, kutoa tgo, kutegesha mimba, kujitolea mahari, aaghhrrrr inakeraaa
Ahsante mama D. Uwe na siku njema pia.Uwe na siku njema affinitytz
Vise versa is true.ukitaka kuoa angalia mama yake huyo binti,
je anaishije na mume wake ? Kama wametengena sababu ni nini..?
Na kama hajaolewa sababu ni nini..?
Maana inasemekana mabinti wengi wanakopi na kupesti tabia na kila kitu cha mama zao [emoji18]
Unakuwa na vifungu kama yanga TOPOLO anyways ndoa ni ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vise versa is true.
Na wewe binti angalia upende wa mwanaume kama baba yake hakuwai kuoa ama ata kutoa mahari tu usitegemee mtoto wake kuja kukuoa
Hivyo sio biblia wa Quran et. unaruhusiwa kunikosoa kama nimekosea ila kosoa kwa logicUnakuwa na vifungu kama yanga TOPOLO anyways ndoa ni ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena ndoa ilimradi ndoa ๐๐๐๐ anajibebesha Mimba kwa Waume za watuUmenena ukweli mtupu. Unaangaika na binti kumbembeleza nikuoe akiwa na age ya around 23 to 27 anaringa kisa bado anajiona mdogo. Akifikisha 30+ anaanza kuangaika na waganga kutafuta ndoa.
Wanaume kwenye kuoa wako makini jamaniiiii yaani hata wale wanaume wabovu kabisa unakuta anachagua mwanamke makini ajabu.. na baada ya hapo ndio waolewaji ndio wanakuja kushtuka na kuishia kulia na kusaga meno๐๐๐
Uzuri wa tabia na akili
Sio sura, rangi, hips.... na nywele peke yake
Artificial booty is a poor substitute for the real booty.Halafu utasikia wale wasioolewa wanasema mwanamke wa kawaida/mbaya ila ana bahati ya kuolewa....
Sio bahati hiyo, ni kwamba waoaji wanaoa tabia na akili... sura na shepu vinatengezwa๐๐๐
Asilimia kubwa nao huwa wanakuwa kama wazazi wao.Vp kuhus mtt wa nje ya ndoa