Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

Nasikitika mabinti wengi hawatamwelewa huyu mchungaji.....wa siku izi washaeka mbinu zao akilini kwa ajili ya kuolewa, kujirahisi, kutoa tgo, kutegesha mimba, kujitolea mahari, aaghhrrrr inakeraaa
Umenena ukweli mtupu. Unaangaika na binti kumbembeleza nikuoe akiwa na age ya around 23 to 27 anaringa kisa bado anajiona mdogo. Akifikisha 30+ anaanza kuangaika na waganga kutafuta ndoa.
 
Participated....nikiwa kwenye net ntaangalia hiyo video
 
ukitaka kuoa angalia mama yake huyo binti,

je anaishije na mume wake ? Kama wametengena sababu ni nini..?

Na kama hajaolewa sababu ni nini..?

Maana inasemekana mabinti wengi wanakopi na kupesti tabia na kila kitu cha mama zao [emoji18]
 
Vise versa is true.
Na wewe binti angalia upande wa mwanaume kama baba yake hakuwai kuoa ama ata kutoa mahari tu usitegemee mtoto wake kuja kukuoa
 
Vise versa is true.
Na wewe binti angalia upende wa mwanaume kama baba yake hakuwai kuoa ama ata kutoa mahari tu usitegemee mtoto wake kuja kukuoa
Unakuwa na vifungu kama yanga TOPOLO anyways ndoa ni ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unakuwa na vifungu kama yanga TOPOLO anyways ndoa ni ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo sio biblia wa Quran et. unaruhusiwa kunikosoa kama nimekosea ila kosoa kwa logic
 
Umenena ukweli mtupu. Unaangaika na binti kumbembeleza nikuoe akiwa na age ya around 23 to 27 anaringa kisa bado anajiona mdogo. Akifikisha 30+ anaanza kuangaika na waganga kutafuta ndoa.
Tena ndoa ilimradi ndoa 😀😀😀😀 anajibebesha Mimba kwa Waume za watu
 
Wabovu wa nini? Hawapigi show au?
Wanaume kwenye kuoa wako makini jamaniiiii yaani hata wale wanaume wabovu kabisa unakuta anachagua mwanamke makini ajabu.. na baada ya hapo ndio waolewaji ndio wanakuja kushtuka na kuishia kulia na kusaga meno😂😂😂
 
Halafu utasikia wale wasioolewa wanasema mwanamke wa kawaida/mbaya ila ana bahati ya kuolewa....
Sio bahati hiyo, ni kwamba waoaji wanaoa tabia na akili... sura na shepu vinatengezwa😂😂😂
Artificial booty is a poor substitute for the real booty.
 
Vp kuhus mtt wa nje ya ndoa
Asilimia kubwa nao huwa wanakuwa kama wazazi wao.
Kumbuka kuna mtoto wa nje ya ndoa ambae kalelewa kwenye ndoa (yan kalelewa ndani ya ndoa na mama au baba wa kambo) hapa akipata malezi na misingu mizuri jua lazma atajua thaman ya ndoa na kinyume chake
 
Wabovu wa nini? Hawapigi show au?

Kuitwa mwanaume kwa sababu ya kupiga show peke yake ni aibu sana
Uanaume ni jumla ya majukumu tena zito na kupiga show ni moja ya jukumu muhimu lililo ndani ya hilo jukumu zito
 
Back
Top Bottom