Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,836
- 2,536
Umenena ukweli mtupu. Unaangaika na binti kumbembeleza nikuoe akiwa na age ya around 23 to 27 anaringa kisa bado anajiona mdogo. Akifikisha 30+ anaanza kuangaika na waganga kutafuta ndoa.Nasikitika mabinti wengi hawatamwelewa huyu mchungaji.....wa siku izi washaeka mbinu zao akilini kwa ajili ya kuolewa, kujirahisi, kutoa tgo, kutegesha mimba, kujitolea mahari, aaghhrrrr inakeraaa