Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
Magufuli was a Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
Mkuu Sexless , unless una uthibitisho, na ushahidi.
Japo JPM hakuwa malaika, ila pia hakuwa shetani ndio maana amekwenda peponi, na hivi tunavyozungumza hapa, yuko mbinguni kwa Baba yake!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Kwa sisi Wakristo, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo, hivyo kwa mujibu wa sheria ya karma, mtu hata ukitenda maovu kiasi gani, ukaja kutenda mema mengi kuliko yale maovu, unaingia peponi!. "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Magufuli pamoja na uovu wake wote wa mwanzoni, baadae ilikuja kubadilika na kuwa mwema kama malaika by the time anatwaliwa, he was a saint!.

P
 
He was real the Devil Incarnate
 
Sasa kwanini na wao hawaoni kuwa KATIBA MPYA ni Muhimu kuondoa Kikwete.
 
Mbona Samia alikuja kukuona privately na unamuona ni mbaya kwako? Hivi Kwa Lisu Kuna mtu mzuri hapa Tanzania?
 
Mbona Samia alikuja kukuona privately na unamuona ni mbaya kwako? Hivi Kwa Lisu Kuna mtu mzuri hapa Tanzania?
Samia alienda kwenye Mkutano Nairobi , akasutwa na Viongozi wa nchi nyingine , ndio akaona achepuke hospitali ili kuua soo .

Mzee Mwinyi na Mkewe walitoka moja kwa moja Tz kwa nauli zao kwenda Kenya kumuona Lissu tu .
 
Mambo mengine tumuachie Mungu tu.

Wengi sana walikwenda kumuona alipolazwa pale Nairobi na mpaka wengine kutumia influence Yao kumpeleka Nairobi na then Belgium, lakini kutwa kucha mnawananga humu, labda wakifa nao wanaitwa "Kind man/woman"
 
Samia alienda kwenye Mkutano Nairobi , akasutwa na Viongozi wa nchi nyingine , ndio akaona achepuke hospitali ili kuua soo .

Mzee Mwinyi na Mkewe walitoka moja kwa moja Tz kwa nauli zao kwenda Kenya kumuona Lissu tu .
JK naye?
 
Hakuna kejeli mbaya kama hii yako tangu mwaka 2024 uanze .
 
Hakuwa nadamu ya kitanzania na ndiyo maana alikuwa tofauti.Kikwete ni habari nyingine,roho safi na ndiyo maana ataendelea kupendeza.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Nimesoma masters darasa la watu 25, wazazibar walikuwa 8. Niligundua hawa watu wanaroho nzuri kuliko sisi watanganyika. Umbaya wanaofanyiana ni sababu ya ushawishi wetu. Simchuki JPM kama binadamu lakini kwa unyama wake aliokuwa nao Wazanzibar hawawezi kuukubali utawala wake kwa vyovyote kama sisi hata mama mwenyewe.
 
Acha uongo, majamaa yana Roho mbaya sana na mi jana tu kuna mzanzibar kanifanyia Roho mbaya sana na leo tu kamfanyia tena dereva huku Rungwe. Jamaa hawana utu na akili hazijatimia hao.
 
Wewe hujui Kiingereza. Unataka kusema a kindly man ni Makosa.
A kindly man ni mtu ambaye ni mwema sana. Ni zaidi ya a kind man.

Mkulima upo vizuri kwenye hii lugha:

"A kindly person is kind, caring, and sympathetic. He was a stern critic but an extremely kindly man."
 
Kwenye hili Pascal Mayalla utakuwa umetumia dhahania na mahaba yako binafsi tu. Lakin ukweli kamili hakuna mwanadamu yeyote aliye hai ajuaye hatima ya mfu ama wafu
Knowledge ya wengi wetu ni limited kwenye ulimwengu huu wa mwili, lakini kwenye ulimwengu wa roho ni wachache tuu waliojaaliwa kufunuliwa. Mimi ni mmoja wao.
Karibu pande hizi

Hoja ya Magufuli yuko peponi, sio hoja dhanifu kutokana na mahaba niue ya the Sukuma Gang, mimi nimeelezwa kupitia sauti ya ndani, Voices from within.

Karibu uangalie mambo niliyoambiwa na nikayasema humu kabla hayajatokea, na nini kilikuja kutokea "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

Baadhi ya kauli hizo ni hizi
Na kubwa kuliko ni HII ambayo itatokea 2025!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…