Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Hawezi kuiona pepp yule ibilisi hta iweje yule ndgu yake shetani na motoni ataungua moto wa peke yake
 

Hakuna asiyefahamu kwamba Mzee Mwinyi alikuwa mtu mwema sana, sijui kama katika watoto wake kuna aliyerithi wema wake. Kama yupo Mungu amsaidie maana huwa wanasema vya kurithi huwa vinazidi.
Hata kama wapo ila hawezi kuwa Husein ambaye aliingia madarakani baada ya mauaji ya kutisha Pemba akishirikiana na Jiwe
 
Anamaanisha kavunja(broken),labda Kama ni typo
 
Hata kama wapo ila hawezi kuwa Husein ambaye aliingia madarakani baada ya mauaji ya kutisha Pemba akishirikiana na Jiwe
Kuna mauwaji ya kutisha yamefanyika Pemba hivi karibuni kuzidi ya 2001!?..au ndo upo kazini,kupiga propaganda
 
Hii ilikuwa pigo kwa wauaji
 
Baada ya hapo KaziJob akapata aibu na fedheha ya Dunia kuwa Spika kwanza kutimuliwa kama Hayawani
 
K
Kuna siku nilipata habari kuwa Kuna jitu baada ya kuzikwa liliporomokewa na jabali sijui kwenye utosi kama siyo komwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…