Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Rais Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki siku ya Alhamisi na kuzikwa jana alikuwa mtu mkarimu. Nilipopigwa risasi Septemba '17 & kukimbizwa Nairobi kwa matibabu, Mzee Mwinyi na Mama Sitti walikuja The Nairobi Hospital kunitakia nafuu ya haraka. Apumzike kwa Amani ya Milele!"- Tundu Lissu
 
Kaka Mshana shikamoo nakuheshimu tangu nikufahamu humu JF
 
Kila mtu atakufa kibwege mbona hata lisu alipigwa risasi kibwege ambazo zilikuwa zinamchagua yeye tu dereva zinamuacha?
Wewe tulia siku ukifa tukisha kufukia utadondokewa na Jabali kwenye Komwe Lita expose ubongo uliwe na decomposers as soon as possible
 
Alijuaje kama walienda kumpa pole maana alikuwa nusuKaputi ,🤔
 
Kwa Lisu watu wema ni wale tu waliokwenda kumsalimu Hospital.

Vipi kwa wale wasiokwenda kwa kukosa nauli??

This guy is sick in his head.
Wewe akili ndogo sana, sasa mtu aje kukujulia hali kwenye mazingira kama hayo ambapo wengine wamekatazwa wasije halafu mtu kama huyo naye apatwe na mkasa hivi kweli utakaa kimya tu...😲😲
 
Wewe tulia siku ukifa tukisha kufukia utadondokewa na Jabali kwenye Komwe Lita expose ubongo uliwe na decomposers as soon as possible
... umeteleza! Hatuongei hivyo kwenye vifo kwani hakuna ajuaye nani atatangulia.
 
ANgekuwepo Maalim Shariff ukamwambia haya maneno.
 
Mzee Mwinyi hajawahi kuwa Mzanzibari.
Alikuwa Mtanganyika,baada ya Muungano akawa Mtanzania.
 
Was a kindly man❌
Was a kind man✅

huwa nasisitiza watu watumie tu Kiswahili siyo dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…