Mwanaume asiye na koromeo ni mchichamwiba aliyetuliaMoja kwa moja.....wenye ndoa zao....mkilala...ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress...zako kibao sana.....huwa ni kama kero na stress zaidi....
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendiiiii
Wanawake bhana alaf ukilisukuma linakuletea mzgo mara likujambie akuwekee miguu ukimwambia unanyima usngz utaskia mbona ukiwa kwa malaya wako ubweki kumbe tuna stress ya marejesho awataki kutufarj zaid ya kutusumbua tuMoja kwa moja.....wenye ndoa zao....mkilala...ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress...zako kibao sana.....huwa ni kama kero na stress zaidi....
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendiiiii
Wachana na hizo sababu mwili ni Mmoja japo kila mtu na Usingizi wake. Yes Kuna time yakujigeuza lakini mbanano unasolve mengi, Budhaa said .Sipendi kubanana,kwanza nilizoea kulala mwenyewe.
Unastuka usingizini unamkuta mtu kaachama tu kama amepoteza fahamu
Hahahahaha bro hapana mkuu,Usibebe mambo moyoni sana dogo, mimi hata kama kesho dogo anarudi shule na sina ada...nikiona dude limekaa mahali pake sivungiππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wanawake bhana alaf ukilisukuma linakuletea mzgo mara likujambie akuwekee miguu ukimwambia unanyima usngz utaskia mbona ukiwa kwa malaya wako ubweki kumbe tuna stress ya marejesho awataki kutufarj zaid ya kutusumbua tu
Hata hizo siku mbili au Moja nani alikuruhusu? Uzinzi tuu. ππSijawahi lala na mtu nifululize siku tatu hivi mbona ngemshangazaπππππ
Wewe hujapigwa stress badoWatu tunatamani Sana hizo fursa za kugeuziwa wezele.
Kwanza mi nikigeuziwa wezele stress zinakata mazima
πππππKaribu huku uone mambo zilivyo matamu tena nakushauri kitanda kiwe kidogo tu ukigeuka huyu hapa. πππ Wachana na king size bed. Tena kwa nyie Chaggasbarbie wenye flat screen itakuokoa sanaπππ
Kwa sasa sitakiiiWachana na hizo sababu mwili ni Mmoja japo kila mtu na Usingizi wake. Yes Kuna time yakujigeuza lakini mbanano unasolve mengi, Budhaa said .
Hawa wanawake wanaelewa sasaSioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Maisha ya Wafalme wa Uingereza haya.Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Jaribu kuingizaMoja kwa moja.....wenye ndoa zao....mkilala...ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress...zako kibao sana.....huwa ni kama kero na stress zaidi....
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendiiiii
πShtuka haraka sana ππ€Έπ€Έπππππ
Haya mambo ya kings size yanakosesha fursa Kama hizi