Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Moja kwa moja.....wenye ndoa zao....mkilala...ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress...zako kibao sana.....huwa ni kama kero na stress zaidi....
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendiiiii
Mwanaume asiye na koromeo ni mchichamwiba aliyetulia
 
Moja kwa moja.....wenye ndoa zao....mkilala...ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress...zako kibao sana.....huwa ni kama kero na stress zaidi....
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendiiiii
Wanawake bhana alaf ukilisukuma linakuletea mzgo mara likujambie akuwekee miguu ukimwambia unanyima usngz utaskia mbona ukiwa kwa malaya wako ubweki kumbe tuna stress ya marejesho awataki kutufarj zaid ya kutusumbua tu
 
Sipendi kubanana,kwanza nilizoea kulala mwenyewe.
Unastuka usingizini unamkuta mtu kaachama tu kama amepoteza fahamu
Wachana na hizo sababu mwili ni Mmoja japo kila mtu na Usingizi wake. Yes Kuna time yakujigeuza lakini mbanano unasolve mengi, Budhaa said .
 
Karibu huku uone mambo zilivyo matamu tena nakushauri kitanda kiwe kidogo tu ukigeuka huyu hapa. 😂😂😂 Wachana na king size bed. Tena kwa nyie Chaggasbarbie wenye flat screen itakuokoa sana😂😂😂
😃😃😃😃😃

Haya mambo ya kings size yanakosesha fursa Kama hizi
 
If u can't find true love,work hard,make money,and enjoy your single life,
Nobody has ever died from being single,But many have died for being with wrong partner,

Life is too short to be wasting your time with the wrong person.
 
Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Maisha ya Wafalme wa Uingereza haya.

Prince Philip na Queen Elizabeth wslijuwa wanaishi hivyo.

Ila wabongo wengi hawawezi kukuelewa.
 
Back
Top Bottom