Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Kwaiyo unataka kuniambia dar inawazaramo wengi kiasi hicho ?
 
Ukuaji w dar ndio unaonifanya niamini dar wageni ni wengi kuliko wazawa na hiyo ni moja ya sifa ya miji mikubwa ,population ya dar miaka 30 iliyopita ilikua chini ya milion 1.5 unadhani hii population iliyoongezeka mpaka kufikia mil 5 na points ni yawazaramo?
 
Unafahamu mashati,tarakea,holili? Ni miji kabisa ina Kila kitu Ila kiutawala ni Kijijin [emoji2][emoji2][emoji2] inaonekana huijui Kilimanjaro ndugu raval omanana wasalimie hapo Antananarivo
Hizi ni stori za kwenye mbege tu.

Yaani Mashati, tarakea na holili ni miji?

Aisee
 
Mashati Kuna huduma gani haipo? Holili,tarakea Hadi bank zipo n'a ni Kijijini
Mashati na Tarakea ni vijijini.

Huduma zilizopo ni ziazowafaa wao tu.

Nyingi ni Bar na Mabanda ya kitimoto.

Bank zilizopo wilaya nzima (maana inafanana tu) ni NMB na CRDB ziko Mkuu na Tarakea.

Na ilibidi ziwepo maana ndio wilaya, ukitaka bank zikae mjini na hiyo mjini haipo ulitegemea nini?
 
Punguza kamba yani moshi dc iwe na shule nyingi za msingi kuliko halmashauri zote Tanzania ?,yaani iipite hata wilaya ya ilala yenye watu zaidi ya milion 1.5?
 
Hahaa kweli kama pale holili pamepoa kama pilipili hoho
Hata tarakea haiingii hata robo ya Sirari.

Hata upande wa Pili Kenya wamepatelekeza, hakuna mji.

Ndio maana, pamoja na kuwa na border Mbili za Holili na tarakea lakini ni vijiji na vimechoka kinoma 😂
 
Punguza kamba yani moshi dc iwe na shule nyingi za msingi kuliko halmashauri zote Tanzania ?,yaani iipite hata wilaya ya ilala yenye watu zaidi ya milion 1.5?
Acha ushamba ndugu,Hizo ni takwimu halisi sio hiyo tu,mkoa WA Kilimanjaro ni mkoa WA kwanza kwa shule nyingi za sekondar kuliko mkoa wowote
 
Hata tarakea haiingii hata robo ya Sirari.

Hata upande wa Pili Kenya wamepatelekeza, hakuna mji.

Ndio maana, pamoja na kuwa na border Mbili za Holili na tarakea lakini ni vijiji na vimechoka kinoma [emoji23]
Haters mtazidi kuaibika
 
Tarakea Motamburu

Tarakea Kitendeni

Reha

Nanjara

Mjini ni wapi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nini maana ya mjini? Kwetu uchagan mjini ni maeneo yenye lami,nyumba yenye maji na umeme, huduma zote za kijamii vijijini,kikwetu hiyo ndio maana ya mji kama www unadhani mjin ni eneo Dogo lenye ghorofa mbili tatu alafu ukienda kidgo unakuta majumba ya nyasi kama kwenu geita pole sana,Sisi wachaga maghorofa hayo tunayajenga vijijin
 
Mjini ni kule ambako wachagga wengi wanakimbilia. Period.

Hakuna mchagga anatoka Hai, kukimbilia Rombo.

Au kutoka Siha kukimbilia Hai.

Kilimanjaro fursa.

Ni viamba vya wazee wastaafu tu.
 
Mjini ni kule ambako wachagga wengi wanakimbilia. Period.

Hakuna mchagga anatoka Hai, kukimbilia Rombo.

Au kutoka Siha kukimbilia Hai.

Kilimanjaro fursa.

Ni viamba vya wazee wastaafu tu.
Kwahyo wachina walivyotapakaa Africa ina maanisha china hakuna kitu? Una Elimu gan?
Hujui kuwa watu hutafuta fursa Zaid popote,ndio tunachofanya haturiziki na fursa Moja , nyie mtaendelea kupanua madomo Sisi tunaendelea kutanua nchi nzima
Tutazidi kununua maeneo Kila mahali mkija kushtuka kushakucha
 
Na kweli Kusini kwa Sasa hivi mambo moto sana . Graphite na Gesi zitawainua sana! Ila angalizo: pelekeni watoto shule. Elimu ndio itawaokoa. Vinginevyo itakuwa kama Dubai, wageni wengi kuliko wenyeji kwasababu wenyeji hawajasoma!
Bob sio kusini ya mtwara ni kusini magharibi
 
Na kweli Kusini kwa Sasa hivi mambo moto sana . Graphite na Gesi zitawainua sana! Ila angalizo: pelekeni watoto shule. Elimu ndio itawaokoa. Vinginevyo itakuwa kama Dubai, wageni wengi kuliko wenyeji kwasababu wenyeji hawajasoma!
Yaani Iringa, Njombe, Mbeya, Ruvuma hicho kipande ukikimega na tz bara unaweza pata nchi mbili yaani nchi tajiri sana na maskini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…