Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Kwaiyo unataka kuniambia dar inawazaramo wengi kiasi hicho ?Hii takwimu ya asilimia 90 umeipata wapi? Au Kwa sababu Wadar es salaam hawaongei vilugha kama mikoani kwenu? Bado wenyeji Wana account asilimia zaidi ya 60%. Ila huwezi tambua mapema Kwa kuwa wanaongeza Lugha ya KISWAHILI.
Maskini wa Dar ni sawa tajiri wa mkoani