Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Kilimanjaro pia maskini sana. Sijui una maana gani kuitoa Kilimanjaro? Maskini tena sana tu.
Sio tu Kilimanjaro,hâta USA, UK,na uchina maskini wapo
Tunaangalia ratio
Kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro umaskini ni 10% tu
Na Sisi Wana Kilimanjaro tumeazikia kufikia 2027 hyo 10% ya umaskini tuifute
NB
KILIMANJARO kwa mujibu WA wizara ya afya ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na life expectancy kubwa
 
Kwa Kilimanjaro mjini ni wapi!????
Yan Kilimanjaro kwasasa haijulikan wapi mjin wapi Kijijin
Mana hâta vijijn Kuna Kila kitu kilichopo mjini
Imagine marangu ni Kijijin Lkn Kuna ma Supermarket,bank nk
 
Vitambi na viribatumbo sio matatizo ?

Moja ya matatizo ambayo yatakuwa kusababisha vifo vingi na uzito mkubwa miaka ya mbele kwa bongo mkoa wenu ndo kinara na Dar mwaka huu fuatilia...

life expectancy yenu kwa wanaume ni ndogo sana uliza ukienda nyumba hazina watu kabisa unakuta wamama kwa sana.
 
Sema mimi napenda kagera iendelee kutajwa hivi hivi Maskini...hata serikali itapakumbuka na kweli serikali imeanza kupakumbuka at least kwa kuanzisha vyuo vikuu kama UDSM nk...kupanua bandari ya kemondo na Bukoba...kujenga stendi ya mabasi...kuleta meli mpya ya mv mwanza...kujenga barabara ya ngara to karagwe kwa lami...kujenga hospital zao za wilaya kuliko kuachia kanisa ijenge hospital...kuupanua mji wa bukoba kwa kuongeza kata tisa nk...na kujenga barabara dual mjini bukoba...

Ni heri uitwe maskini kuliko kuitwa mkoa wako una maendeleo kumbe kihualisia hayapo...mfano mkoa Ruvuma unatajwa wa nne nchini kwa maendeleo lakin ukifika kule huoni maendeleo yoyote bora hata kagera...mikoa kama lindi, mtwara, pwani, shinyanga, njombe nk inatajwa ina maendeleo lakin kimsingi watu wake hata milo mitatu hawapati...so serikali itawaignore...

Kuna mkoa wa Kilimanjaro ambao nao unatajwa watu wake wana unafuu wa maisha lakin in reality huko rombo, same, mwanga, siha hadi maeneo ya moshi vijijini vijana wanaangamia, mkoa unakimbiwa kila kukicha na hakuna maendeleo yoyote ya maana yanayofanywa huko na serikali hata kujenga soko la kimataifa pale tarakea hakuna...wapo kwenye magendo tu
 
Yan Kilimanjaro kwasasa haijulikan wapi mjin wapi Kijijin
Mana hâta vijijn Kuna Kila kitu kilichopo mjini
Imagine marangu ni Kijijin Lkn Kuna ma Supermarket,bank nk
Wewe jamaa umeshakuwa chizi?


Kwahiyo sehemu ikiwa na supermarket, bank ni mjini????
 
Kulima na kupata chakula kingi ni jambo 1 na kula chakula bora ya kukupa afya ni kitu kingine. We consume what we not produce and we produce what we not consume.
 
Mimi binafsi sikubaliani na hizo takwimu zao.Mimi natokea Kilimanjaro hiyo mikoa inayotajwa kuwa masikini Ina fursa nyingi kuliko Kilimanjaro.Unaweza kukuta huku watu wamejenga lakini in details hizo nyumba hazitokani na fursa za mkoa huu.Kuna mikoa naitamani mf Kigoma Kagera,Mwanza,Shinyanga! YAANI fursa kibao mvua za kutosha! Mpaka natamani kuhamia huko Kwa kuwa nchi ni YETU sote.Ifike tunapopima umaskini tuangalie fursa za eneo husika na sio majengo naweza Jenga Moshi! NDIO lakini uchumi nimepatia mf Dar n.k.
Msichokijua! Kanda ya kaskazini miaka hii imeathiriwa sana na mabadiliko ya tabia ya nchi!(Global warming!) Hivyo in the long run uchumi huku utaporomoka mfano Chuga hakuna mvua Tena kama zamani.Tuache promo na kukariri maisha!
 
Yan Kilimanjaro kwasasa haijulikan wapi mjin wapi Kijijin
Mana hâta vijijn Kuna Kila kitu kilichopo mjini
Imagine marangu ni Kijijin Lkn Kuna ma Supermarket,bank nk
Kiwilaya wilaya ya Bukoba mjini ndo ina kiwango kidogo cha umaskini kuliko wilaya zote nchini


Nasubiri mwaka huu watoe takwimu za kiwilaya tuone.....maana wakitaja Kagera watu hushambulia wahaya...nataka nione wilaya za wahaya haswa kama Bukoba , misenyi na muleba....

Hapa takwimu za nyuma Bukoba ndo wilaya yenye kiwango kidogo cha umaskini kuliko wilaya zote nchini
 
Tatizo la bongo wanaangalia mikoa hawaangalii mtu mmoja mmoja dar kuna watu wana maisha magum afadhali ya tabora mtu huwez shindwa kula mana utalima tu ila dar ka huna kazi huli na ndo mana maxhoga n weng mno
Yan upite tu kwenye thread yoyote humu jeief usione neno shoga, loo sio kweli,!!! Hiyo kutajataja kama tunapromote flan hiv pasipo sisi kujua,..
 
Yako ni nadharia. Fact ni kwamba Kilimanjaro is declining. Kasoro tukiongea kuhusu mkoa wa Kilimanjaro, kinachokuja kichwani mwako ni wafanyabiashara wa kichagga.
Mkoa wa Kilimanjaro ni hadi wale maskini wanaoshindia mbege, wale wanakimbizana na magari kuuza nyanya, vitunguu na karanga katika stendi mbali mbali mkoani, Kilimanjaro sio Moshi na Machame tu.
 
Swali lilikuwa nitajie majina ila naona umekuja na gazeti, pole nikutakie siku njema mkuu!!
 
Kinachofanya Kilimanjaro haiwekwi kwenye kundi la mikoa masikini ni IDADI NDOGO YA WATU.


Na hii ni Kwasababu watu wengi wa Kilimanjaro wanapakimbia kila siku.
 
Hizo ni stori za abunuasi kuwa ukienda nyumba unakuta wamama,kwamba wababa walishafariki
Ni stori za vijiweni
Watu wanakula mno nyama mkuu
 
Wewe Kilimanjaro hasa rombo ni pesa tu Hao vijana unaosema wanaangamia ni wale wajinga ambao hawakosekan Ktk jamii yoyote
Ikiwa mkoa unakimbiwa,imekuwaje NBS watuambie ndio mkoa wenye unafuu WA kipato kwa wananchi wake kwa 90%?
Kilimanjaro Kila kijana anapambna, Elimu,exposure ndio inaupandsha mkoa
Mkakati wetu ni kuwa hizo 10% za umaskini Ktk mkoa wetu ifikapo 2027 tuuondoe kbs
Rombo ni wilaya pekee Tanzania ambayo vijij vyake vyote,vitongoji,vina umeme 100% kwa mujibu WA tanesco
Rombo umeme umeingia tangia 1980's wakati kule kwenu Muleba na misenyi Kuna vijiji Hadi MDA huu unga wanasaga mashine za dizel
Kilimanjaro sidhan kama wanajua mashine za dizel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…