Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Usiongee Sana wataamka,dawa ni kuwakimbiza kimya kimya
 
We kweli una funza kichwani. Bora ungetaja Tanga. Kilimanjaro ambayo miji imedoda hakuna hata makao makuu ya wilaya yana hadhi ya town council? Hivi umaskini wote ule ulioko upareni mtu huoni hata aibu kuongea huo utumbo? Mkoa wa Kilimanjaro mi ndio ningesema ni maskini kuliko mkoa wowote nchi hii
 
Uliza TRA wanakusanya ngapi Kilimanjaro..
 
Kila kitu kinategemea kiasi unachouza. Mtu anayeuza kwenye madirisha ya mabasi ya mikaoni ni maskini unless kama hujui maana ya umaskini. Anayesafirisha kwa fuso kutoka Iringa kwenda Dar, hawezi kuwa maskini kwa viwango vya Tanzania.
Kwahyo kwa Tafsir Yako MTU anaeuza nyanya na vitunguu stand ni maskini ? My God una Elimu gani mkuu? Tuanzie hapo
 
Kwa GDP Kilimanjaro iko mbali sana. Inacheza kati ya 8 na 9 nyuma ya Tanga, Morogoro, Shinyanga, Geita kwa mbali.
 
Akili za memkwa hizi
Maisha bora hayapimwi na makao makuu ya wilaya kuwa na hadhi ya mji
Maisha bora yanapimwa na
1:makazi bora(Kilimanjaro inaongoza kwa 90% ya makazi bora vijijini
2: huduma za kijamii (Kilimanjaro vijijini ndio kinara WA huduma za jamii ,ni mkoa wenye shule nyingi za sekondar kuliko mkoa wowote Tanzania,Moshi DC ni wilaya ya kwanza kuwa na shule nyingi za msingi,huduma za maji ya bomba taribani 80% Kila mwananchi WA Kilimanjaro Ana bomba ya maji nyumbani kwake,umeme ndio usiseme Kilimanjaro umeme upo Tangu miaka ya 80's, huduma za afya Kilimanjaro vijijini Kuna Hadi zahanati za private,mathalani Kila wilaya ina hospital zaidi ya Moja,Moshi DC pekee ina hospital 5 wakati maeneo mengine hospital ni anasa)
3:infant rate(Kilimanjaro IPO vizuri Haina vifo vya wajawazito na vichanga kwa kiwango kikubwa)
4:life expectancy🙁Kilimanjaro ndio mkoa wenye watu wenye umri mkubwa zaidi hivyo inaongoza kwa life expectancy)
5income(Kilimanjaro ni mkoa WA pili wananchi wake kuwa na per capita income kubwa Baada ya dar 90%)
Hivyo ndivyo vigezo vya maisha bora
 
Kila kitu kinategemea kiasi unachouza. Mtu anayeuza kwenye madirisha ya mabasi ya mikaoni ni maskini unless kama hujui maana ya umaskini. Anayesafirisha kwa fuso kutoka Iringa kwenda Dar, hawezi kuwa maskini kwa viwango vya Tanzania.
Kwahyo kama MTU Ana vitunguu vyake gunia 2 anaviuza kwa madirisha vinaisha anapata faida then anafanya hvyo tena BDO ni maskini ?
Nyie wadengereko mnaodharau kazi ndio mtaendelea kubaki maskini Hadi mfe
Muuza supu anauza supu Ana save 50000 Kila Siku Ila Wewe ukimuona unamdharau
Unakuta Ana nyumba,anasomesha,Ana bodaboda zake 3 NK
Nyie mnaodharau Kaz mtazd kubaki maskini
 
Dola Ni kipimio Cha kimataifa.

Kimataifa huwa dola ndiyo kipimio Cha sarafu nyingine zote. Bila shaka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umenichekesha sana, maana kuna siku manzese nimeakunjwa shati na kitoto cha under 18, kumbe kimechungulia,mfuko wa shati langu Kuna buku tatu yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao jamaa hawajiamini kabisa [emoji23][emoji23]kila kitu eti wao na wanaobishana humu wengi njaa kali ...Eti kusifu kwao daily wakati mwaka mzima wanaenda mwezi wa December tu na wengi hawaendi kabisa
Ni nani bora, sie tunaekwenda kwetu Disemba tu au nyie msiejua hata kutafuta kwenu ni wapi!
 
Hebu acha maneno mengi....hiv kuna uwekezaji gan wa maana wilayani Rombo? Hebu utaje hapa...

Huoni takwimu za NBS zinasema watu wanapungua Kilimanjaro? Huoni kuwa ni tatizo...
Vip kuhusu ulevi wa kupindukia huko Kilimanjaro vijana miaka 20 kama miaka 50...
Vip kuhusu nyumba kibao za mabanzi zilizojaa humo moshi vijijini?
Vip barabara mbovu mbovu za vijiji zilizojaa huko milimani?

Huko Rombo hakuna viwanda, hakuna hata large scale farming, hakuna hata vitalu vya vijana kufanya kilimo, hakuna hata soko la wakulima kuuza mazao yao...

Uko unajisifia hapa mmeendelea...mmendelea nyinyi nyie? Unajua kuendelea?
 
Sasa bukoba mjini au hâta miji yote kiujumla automatique lazm kiwango chá umaskini kiwe kidogo
Mjini watu wengi Wana uwezo hyo ni elementary kabisa[emoji2][emoji2][emoji2]
Bukoba mjini ndo wilaya inayoongoza kwa kuwa na watu wachache wenye umaskini wa kipato...inazidi wilaya zote hata zile zilizo ndani ya majiji...

Appreciate that...na hao NBS wakifanya utafiti vzr zile wilaya za wahaya kama Bukoba, Misenyi na muleba zitafanya tu vzr kwa maendeleo binafsi.....
Maana wazee wengi wa kihaya wakistaafu wanarudi Bukoba huko..kufuga ng'ombe wa maziwa nk...

Kagera inaangushwa na umaskini uliokithiri huko Biharamulo na ngara lakin pia population yake ni kubwa kuliko pato la mkoa...
 
Kwa hiyo ndio utajiri wa Kilimanjaro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…