Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Kumbe hujui rombo
Kiwanda chá maji SEQUA kipo wilaya gani?
Border za holili na tarakea zipo wilaya gan?
Vijana kunywa pombe mbona husemi kwenu Huko misenyi/ vijana weusi tii wamechakaa kwa kunywa gongo inayoitwa kalinya? Hao wamezeeka haswaaa
Nyumba Kilimanjaro NBS inasema 90% ni za kisasa
Ni afadhali nyumba ya mbao yenye bati kuliko zile zenu za nyasi kule Muleba
Uchagan hatujui mashine za dizel wakati kule kwenu uhayan Hadi MDA huu mnakula ugali unaonuka dizel
 
Kumbe hujui Rombo
Kiwanda chá maji SEQUA kipo wilaya gani?
Border za holili na tarakea zipo wilaya gan?
Vijana kunywa pombe ni tabia ya MTu
mbona husemi kwenu Huko misenyi/ vijana weusi tii wamechakaa kwa kunywa gongo inayoitwa kalinya? Hao wamezeeka haswaaa
Nyumba Kilimanjaro NBS inasema 90% ni za kisasa kabisa,kule kwetu uchagan ukijengea bâti jeupe unachekwa
Ni afadhali nyumba ya mbao yenye bati kuliko zile zenu za nyasi kule Muleba
Uchagan hatujui mashine za dizel wakati kule kwenu uhayan Hadi MDA huu mnakula ugali unaonuka dizel

Nb
Mmiliki WA précision air bwana ngaleku shirima anatokea ROMBO
 
Hiyo reference uliyoweka hapo ni ya mwaka 2001 [emoji2][emoji2][emoji2] tupe latest
Kumbe Sisi mkoa WA Kilimanjaro kuwa WA pili kwa kiwango kidogo chá umaskini WA kipato inawauma wengi
 
Kwa hiyo ndio utajiri wa Kilimanjaro?
Huo sio utajiri Wala umaskini
Ni maisha ya kati, Ktk jamii lazma kuwe n'a tabaka za aina hyo sio ukute kwemye jamii Kuna tajiri alafu Kuna watu wasio na hata uwezo WA kuingiza 10000 kwa Siku
MTU WA aina hyo ni MTU WA middle
Kasome kanuni za uchumi
 
Ni nani bora, sie tunaekwenda kwetu Disemba tu au nyie msiejua hata kutafuta kwenu ni wapi!
Miezi 12 ndo muende mwezi mmoja mbona sisi hata mara 4 kwa mwaka...Nyie vurugu na kik nyingi mnataka kila mtu ajue kama sio mtambiko n nn?
 
Hivi kweli unafikria kuna mtanzania anataka kuishi huko kweli? Miaka nenda idadi ya watu ni wachache kamkoa kadogo bado kuja vichaka ..Mnaishi wapi kwani?😂😂😂
Na Bado mtateseka sana Kilimanjaro juu Juu juu zaidi[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hizo ni stori za abunuasi kuwa ukienda nyumba unakuta wamama,kwamba wababa walishafariki
Ni stori za vijiweni
Watu wanakula mno nyama mkuu
Nyama kwani nyie kujua kupika haswa wanawake walianza lin? Nyie mnachoma tu kama watu wa porini wanaoenda kuwinda😂😂😂
 
Nchi nzima ni kijiji tu.
 
Mzee baba jambo usilolijua ni usiku wa giza. Kaa ukiamini hivyo hivyo. Wakati wenzio kila cku wananunua nyumba.
 
Hiyo reference uliyoweka hapo ni ya mwaka 2001 [emoji2][emoji2][emoji2] tupe latest
Kumbe Sisi mkoa WA Kilimanjaro kuwa WA pili kwa kiwango kidogo chá umaskini WA kipato inawauma wengi
Leta latest zinazoclassify wilaya katik level za umaskini na utajiri..


Mimi nimeleta evidence yangu ambayo inahitaja Bukoba mjini kama wilaya yenye umaskini kidogo kuliko wilaya zote...na ndo inaongoza Tanzania..
Takwimu zangu za 2005 wew leta zako sasa...
Maana una porojo nyingi
 
Hiyo reference uliyoweka hapo ni ya mwaka 2001 [emoji2][emoji2][emoji2] tupe latest
Kumbe Sisi mkoa WA Kilimanjaro kuwa WA pili kwa kiwango kidogo chá umaskini WA kipato inawauma wengi
Nakwambia hio ni population tu ya mkoa kuwa ndogo...but nothing special kwa Kilimanjaro kuliko mikoa mingine.

Mbona wew hutaki kukubali kuwa Bukoba ndo wilaya inayoongoza Tanzania kwa kiwango kidogo cha umaskini...

Na evidence hii hapa...leta ya kwako pingamizi inayoclassify wilaya hiv
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hivyo viwanda ndo maendeleo unayojinadi nayo hapa?

Eti border? Hiv unajua mkoa kama kagera una borders ngap? Kuwa na border sio kesi sana...ishu ni uwekezaji katika hio border....border kama haina masoko ya pamoja, haina hotels na motels za kutosha, haina forodha, haina uchangamfu wa kibiashara ni uchochoro tu....

Eti kiwanda cha maji? Hivyo ni vitu vya kujisifia hapa? Wilaya kama Bukoba ina viwanda vitano vya maji kuanzia Bunena water, Asilia water, Tanica water, Zahra water na Mayawa water.....
Wilaya kama muleba ina viwanda vya maji kama kabanga water na Mali water...


Eti unasifia Rombo kwa kuwa mtu mwenye hisa nyingi Precision anatokea Rombo!!! Ndege ambayo karibu nusu ya umiliki ni kenya Airways...
Mti huyo hata hakai Rombo amepakimbia tu...kule kumebaki maskini kibao wanaolewa mpaka wanajisahau....


NARUDIA TENA bado kuna kazi kubwa ya kufanya huko Kilimanjaro
 
Mbona Nyerere na Magufuli wanasema watu wa Kilimanjaro wasubiri kwanza wengine nao wapate maendeleo tangu miaka ya sitini watu wa Kilimanjaro wanasubiri tu hamfiki?
 
Labda kudumisha Mila zao na kutumikia miungu Yao huenda kumewapaisha Hawa jamaa,tuachane na miungu ya kigeni tuabudu miungu ya Hawa jamaa
 
Wewe jamaa ni mbweha.

Wachagga wanakimbia Kilimanjaro Kwasababu hakuna kitu.

Suala la Kilimanjaro kuchangia GDP labda Mlima tu.

Hakuna kingine.


Kilimanjaro yote isipokuwa Moshi ni VIJIJINI.


Na Kilimanjaro ilivyo ni Kimkoa kidogo sana kilichojaa Mabonde, misitu na mawe.

Sasa Wilaya Ina ukubwa sawana Tarafa na kila mwaka inapewa budget na serikali itashindwa Nini kujenga lami na Zahanati?
 
Kumbe hujui rombo

Inaonesha hata wewe hunafika, zaidi ya kugoogle tu na Kubweka bweka mitandaoni.
Kiwanda chá maji SEQUA kipo wilaya gani?
Kuwa na hicho kiwanda kidogo Cha Sequa huko porini ndio unaona uwekezaji wa maana sana.
Border za holili na tarakea zipo wilaya gan?
Tarakea n Holili zote ni border Takataka zilizopo vijijini na hazina maajabu yoyote.

Ndio maana hata Rombo Halmashauri haina chochote inaishi kwa RUZUKU tu kutoka serikalini,ambayo ni mapato kutoka sehemu nyingine.
Nyumba Kilimanjaro NBS inasema 90% ni za kisasa
Ni afadhali nyumba ya mbao yenye bati kuliko zile zenu za nyasi kule Muleba
Uchagan hatujui mashine za dizel wakati kule kwenu uhayan Hadi MDA huu mnakula ugali unaonuka dizel
Kilimanjaro ni ndogo Kama kitarafa tu. Watu 10 wakijenga nyumba zao haina maana ni deal sana

Bado Kuna lundo la Nyumba za tope zilizochanganyika na nyasi pamoja na mabanzi.

Mkianza kupost, postini na Hawa wazee wenu mlio watelekeza mmekimbilia mjini, wakifa huku wanazikwa Kama mizoga.
 

Attachments

  • IMG_20230401_085436_9.jpg
    336.5 KB · Views: 6
  • IMG_20230401_085537_5.jpg
    425.9 KB · Views: 5
  • IMG_20230401_085516_0.jpg
    686.8 KB · Views: 7
Tatizo la bongo wanaangalia mikoa hawaangalii mtu mmoja mmoja dar kuna watu wana maisha magum afadhali ya tabora mtu huwez shindwa kula mana utalima tu ila dar ka huna kazi huli na ndo mana maxhoga n weng mno
Itakuwa wanaangalia mzunguko wa pesa
 
Mimi Nina ya kimikoa
Sasa kati ya kimikoa na kiwilaya IPI inayo sound? Alafu eneo lenyewe ni mjini
Kimantiki maeneo yote ya mjini Hali ya maisha ni tofauti na vijijini
 
Kagera ndio mna kazi kubwa ya kufanya maana hâta kula yenu ni Shida hebu cheki utapiamlo hapa kwa watoto
Mnakuwa maskini Hadi mlo? Rombo umaskini ni 10% tu n'a Wala Rombo hakuna nyumba ya nyasi hâta Moja(narudia hâta Moja) Nina milion Moja hapa kama utaniletea picha ya nyumba ya makazi ya nyasi Rombo
Kagera kujilinganisha na Kilimanjaro ni matusi ya nguoni
View attachment 2589330
 
Mbona Nyerere na Magufuli wanasema watu wa Kilimanjaro wasubiri kwanza wengine nao wapate maendeleo tangu miaka ya sitini watu wa Kilimanjaro wanasubiri tu hamfiki?
Huyu msambaa niachie nimnyoroshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…