Ukiona Mwanamke anatumia JF basi ana Ujiniaz ndani yake

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapa kama huwezi kujenga hoja na kuitetea ukibanwa mbona kukimbia ni kesho tu
 
Jamaa Hance Mtanashati ni kilaza .

Jf hii nature ya mijadala yake na hukuna Kiki sio rahisi mtu kama Mwanamke kushawishika kuja hata mijadala ya kipuuzi Jf Ina standard zake za kujadiliwa tofauti na platforms nyingine
kifupi kama wewe ni mtu wa mipasho kimbia haraka hapa so saizi yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli
 
😹😹😹 Kweli sitanii..!!
Kuna mrembo wa kuitwa Giresi afu kumbe ni id ya mwanaume..!!

Humu mambo ni mengi ni kuchukua taadhari kubwa, ukileta hisia utauponza..!! 😹😹
Wanaume wajichanganye sasa waanze kutuma nauli πŸ˜€

a.k.a sisi wazamiaji wa PM/DM

Huku kimoyo moyo ID fake anakwambia, "Njoooo!, Njoo! Njoo ulione!, HILI HAPA, HILI HAPA HILI" πŸŽΌπŸŽ€πŸŽΆπŸ“£
 
Wanaume wajichanganye sasa waanze kutuma nauli πŸ˜€

a.k.a sisi wazamiaji wa PM/DM

Huku kimoyo moyo ID fake anakwambia, "Njoooo!, Njoo! Njoo ulione!, HILI HAPA, HILI HAPA HILI" πŸŽΌπŸŽ€πŸŽΆπŸ“£
Kuna mmoja alikuja kutoa ushuhuda eti aliipigia pisi simu hapo kashaitumia pesa, laaulah ikapokea simu njemba..!! 😹😹😹

Nilimkatalia akanitumia mpaka convo zao na namba kwa ushahidi… nilicheeeeeekka sana’aaa 😹😹😹🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…