Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Kuna matatizo mawili makubwa hapa!Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Tuchukulie akisoma kozi za miaka michache hadi kufikia miaka 20 awe kashamaliza.Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Elimu gani hiyo Tanzania unamaliza na 20 years?Piga tu hesabu rahisi; 40+20=60
Halafu Mods huu utaratibu wa kututaka tuandike maneno yasiyopungua 60 umeanza lini?
Utakua na miaka minneWadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Kwani kuzaa ni lazima?Nyie ndiyo wale wa kujifanya mnatafuta maisha kwanza eeh?
Haya tuambie hayo maisha umeyapata?
Hata kama umeyapata una furaha uliyoitegemea?
Vijana zaeni angali mna miaka 20+, kuna faida kubwa kuzaa mapema kuliko kutokuzaa mapema.
Stori za kusema sijui utatesa watoto ni za watu delusional, binadamu kama mnyama amezaliwa kuadapt mazingira accordingly..
Aisee jamaa umekuwa kama the Knight in the shinning armour kwa mleta mada bila shaka amepata mi-hope kama yoteMiaka arobaini we bado ni kijana mdogo sana, oa upate uzao wako hujachelewa na hujazeeka, tena unaweza kuoa mke mwenye miaka 20
Wanaboa sanaPiga tu hesabu rahisi; 40+20=60
Halafu Mods huu utaratibu wa kututaka tuandike maneno yasiyopungua 60 umeanza lini?
wewe unafikiri utakuwa na miaka mingapi,sababu hapo ulipo ni mzee huenda una miaka 45, ila kwamakadirio kama ni chuo kikuu utakuwa na miaka 65 hapo nimeongeza miaka 3 ya changamoto za kielimu na uzazi kazi kwakoWadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.