Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2023
Posts
1,483
Reaction score
2,392
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?

Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Kuna matatizo mawili makubwa hapa!
1. Kufikisha miaka 40 bila kuoa (unless kulikuwa na kizuizi)
2. Kuuliza swali jepesi sana kama hili hapa jukwaani.

Kwamba mtiririko wa mfumo wa wetu wa elimu hufahamu? Non-sense!
 
Kama ela ipo haina shida mana hata ukiitwa na Bwana mtoto unamuachia mazingira safi. Kuna watu wamewahi kuzaa ila sasa hata ada ya kupeleka watoto chuo hawana na nnawajua waliozaa na miaka 40 ila watoto wao sa hii wanasoma high school ulaya huko! Kikubwa hapo ela tu!
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Tuchukulie akisoma kozi za miaka michache hadi kufikia miaka 20 awe kashamaliza.

Mahesabu:

40 + 1 ( muda wa kutafuta mimba na kulea) + 20 = 61

Utakuwa ushastaafu kwa lazima, then unapigwa na kitu kizito cha kikokotoo
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Utakua na miaka minne
 
Nyie ndiyo wale wa kujifanya mnatafuta maisha kwanza eeh?

Haya tuambie hayo maisha umeyapata?

Hata kama umeyapata una furaha uliyoitegemea?

Vijana zaeni angali mna miaka 20+, kuna faida kubwa kuzaa mapema kuliko kutokuzaa mapema.

Stori za kusema sijui utatesa watoto ni za watu delusional, binadamu kama mnyama amezaliwa kuadapt mazingira accordingly..
 
Watu tuna miaka zaidi ya 50 watu tunazaa vizuri tu na hatuna stress za kufa leo wala kesho eti tutaacha watoto wadogo. Sasa kama tulichelewa kuzaa ujanani ndio tuache kuzaa uzeeni? No matter tutaitwa babu bora tuendeleze uzazi
 
Miaka arobaini we bado ni kijana mdogo sana, oa upate uzao wako hujachelewa na hujazeeka, tena unaweza kuoa mke mwenye miaka 20
 
Nyie ndiyo wale wa kujifanya mnatafuta maisha kwanza eeh?

Haya tuambie hayo maisha umeyapata?

Hata kama umeyapata una furaha uliyoitegemea?

Vijana zaeni angali mna miaka 20+, kuna faida kubwa kuzaa mapema kuliko kutokuzaa mapema.

Stori za kusema sijui utatesa watoto ni za watu delusional, binadamu kama mnyama amezaliwa kuadapt mazingira accordingly..
Kwani kuzaa ni lazima?
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI.Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
wewe unafikiri utakuwa na miaka mingapi,sababu hapo ulipo ni mzee huenda una miaka 45, ila kwamakadirio kama ni chuo kikuu utakuwa na miaka 65 hapo nimeongeza miaka 3 ya changamoto za kielimu na uzazi kazi kwako
 
Back
Top Bottom