Ukisikiliza Hotuba za Samia ukalinganisha na Mwendazake utagundua uongozi ni karama

Ukisikiliza Hotuba za Samia ukalinganisha na Mwendazake utagundua uongozi ni karama

Kwani huyo unayemsifia alikuwa maskini? Maskini anamiliki Mayanga Constructions na hotel kibao? Kwanini mnapenda mtu anayewadanganya? Kwanini hamjifunzi hapo Kenya tu kwenye uteuzi wa Mawaziri wao?
Sijamsifia kiongozi mi nimesemea tabia za baadhi ya watanzania kama wewe ambao mtu akiwa kiongozi mnategemea awe mwizi na siku akiachia madaraka na akiwa hana hela mnaanza kumcheka eti mjinga kwa nini hakuiba etc. Acha viongozi wawe wezi kwa sababu ya mijitu yenye akili finyu kama wewe, yaani waibe kabisa na kujineemesha na familia zao
 
Lile ghorofa la Makonda alilokuwa anagombea na gsm alilipata wakati wa utawala wa nani? Yale magari ya kuzulumu? Sabaya je? Ditto James? Mfugale? Wakulima wa korosho? Tenda za kununua ndege ?....Kaa kimya, usiwe kama zuzu
Hao wote walijipatia hizo mali sawa ila..

Umeme ulikuwepo
Maji yalikuwepo
Unga haukuwa 2000
Maharage hayakuwa 4000
Mafuta na vifaa vya ujenzi havikuwa bei kubwa namna hii
Nauli haizkuwa za maumivu namna hii

Mamako huyu hamna kitu
 
Jamii iliyokuwa imeharibika bado inataka mtu wa matusi kwenye jukwaa.
Hotuba za kiwerevu ndiyo zipi? Zile za kusema "Baki na mavi yako nyumbani"? Ndiyo mnataka?

Uwezo wenu wa kufikiri umeathiriwa na dikteta wa Chato. Go to hell as well
Tena huyo alitakiwa apigwe risasi hadharani!

Yani unapata nafasi ya kueleza kero yako kwa rais alafu unaleta habari ya kutaka sehemu ya kunya? Pumbavu kabisa.

Yule alikuwa rais siyo haya mataputapu.
 
Sijamsifia kiongozi mi nimesemea tabia za baadhi ya watanzania kama wewe ambao mtu akiwa kiongozi mnategemea awe mwizi na siku akiachia madaraka na akiwa hana hela mnaanza kumcheka eti mjinga kwa nini hakuiba etc. Acha viongozi wawe wezi kwa sababu ya mijitu yenye akili finyu kama wewe, yaani waibe kabisa na kujineemesha na familia zao
Huyo unayemsifia hakuiba?
 
Tena huyo alitakiwa apigwe risasi hadharani!

Yani unapata nafasi ya kueleza kero yako kwa rais alafu unaleta habari ya kutaka sehemu ya kunya? Pumbavu kabisa.

Yule alikuwa rais siyo haya mataputapu.
Magufuli alikuwa takataka tu na ndiyo maana Mungu alimkataa.
 
Bora zile hotuba huku maji yanatoka na umeme haukatiki katiki hovyo.
Maji na umeme ndo tatizo tu, yakishatatuliwa hayo samia mpaka 2045 na kura yako anayo. JPM harudi.
 
Si alipiga marufuku hataki mabango kwenye mikutano yake?🤔🤔🤔 Sasa imekuaje tena wakulima wame ruhusiwa na mabango yao 🤔🤔🤔🤔
 
Magufuli alikuwa takataka tu na ndiyo maana Mungu alimkataa.
Alikuwa taktaka kwa wapumbavu, wajinga na wapinzani koko!

Mungu siyo mamako kwamba umeongea nae kuwa amemkataa
 
Lile ghorofa la Makonda alilokuwa anagombea na gsm alilipata wakati wa utawala wa nani? Yale magari ya kuzulumu? Sabaya je? Ditto James? Mfugale? Wakulima wa korosho? Tenda za kununua ndege ?....Kaa kimya, usiwe kama zuzu
Ongezea na ujenzi wa uwanja wa ndege chato akuna anaejua tenda Ile mpaka Sasa.
 
JPM alikuwa populist, propaganda nyingi, lakini hamna lolote la maana
He was a populist somehow...

Na hakuwa populist tu, lakini pia;

✓ Alikuwa hapendi kukosolewa,

✓ Kwa KUWA alikuwa hapendi kukosolewa, na hii ilimleta kwenye tabia ya ukatili kwa wote waliokomsoa...

✓ Alikuwa mwenye maamuzi yasiyofanyiwa utafiti na yalipotekelezwa yalileta damage iliyo beyond control kwa nchi na wananchi. Mfano kumwaga damu za watu, kuteka na kupoteza watu nk nk...

✓ Na udhaifu mwingine tuujuao wote...

Huu ulikuwa upande wa udhaifu wake...

=========================

Lakini JPM kama binadamu alikuwa na upande wa mazuri yake (strengths side yake pia). Hili ni jema, zuri na linakubalika aidha...

✓ Alidhibiti mfumuko wa bei kwa kiwango cha juu sana kwa kuhakikisha bei za mafuta ya petrol zinakuwa constant kwa muda mrefu sana ili kutoathiri maisha ya wananchi...

✓. Wakati wake, shida za wananchi zilitatuliwa kwa haraka. Inasemwa alijenga nidhamu ya utumishi wa umma jambo ambalo ni zuri, jema na linakubalika...

✓ Hakupenda watu wanyanyaswe kwenye ofisi za umma..

✓ Wakati wake (miaka 6 ya Urais wake) kukatika katika umeme kulipungua kwa 95%. Hili lilikuwa jema sana, nampongeza kwa hili kokote aliko...

✓ Na mazuri mengine mengi ambayo mtu yeyote anaweza kuyakumbuka....

========================

VIPI KUHUSU HUYU MAMA SAMIA SULUHU..??

Ndugu hakuna kitu hapo..

✓ Huyu ni Ceremonial President huku akijua kabisa, kuwa kwa mujibu wa Katika ya JMT, President ndiye Chief Exacutive na ndiye yeye...!!

Na hii ndiyo maana ndugu JF Member, mleta mada hii anamng'akia huyu mama...

Na basically, huu ndio ukweli, kwamba, this lady is zero presidential material. Ni takwa la kikatiba tu linamweka hapo huyu bibie, otherwise she doesn't deserve that position...!

Na hii ndiyo moja ya weakness kubwa ya katiba hii ya JMT - 1977 inayoruhusu watu wasio na uwezo kushika madaraka makubwa kama huyu mama kiasi cha kuwa msiba kwa nchi nzima....!!

✓ Si ajabu huyu mama hata hajui kwamba nchi anayoingoza iko gizani - haina umeme...!!!

Huku mwenzake (aliyekufa) akiwa amemwachia nchi yenye mwanga (umeme) na kukatikakatika umeme hovyo kulishakuwa ni msamiati adimu miongoni mwetu. Hili ni jema, zuri na linakubalika..

NOTE: Sijawahi kuwa shabiki ama mpenzi wa Mwendazake Magufuli na wala sikuwahi kumpa kura yangu iwe mwaka 2015 ama 2020...

Lakini alikuwa Rais wa nchi yetu. Na kuna mambo alifanya vizuri sana kama nilivyosema. Kwa hilo kwakweli nampa kongole, na Mungu amrehemu tu huko aliko...
 
Kuwa Rais Taifa hili la wajuaji na wapigaji ...bila kupiga watu risasi wala kuteka wala kuzuia Bunge live...wala kuongea bila kufoka foka na kuwatishia watu na kufungia magazeti ....basi hapo Mungu kakupa karama kubwa Sana
Hahitaji kuwa na karama hata mimi naweza kuwa rais katika taifa hili, ni kuachia tu nchi ijiendeshe yenyewe yani kama rais hayupo vile na kisha nahakikisha hakuna wa kunikosoa hadharani na wakati huo kuna wenye kunisifia naupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom