Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

Nimeona point mbili.
Huwezi kutenganisha traffic na rushwa au mwanasiasa na uongo
 
Umeongea ukweli kabisa
 
Huo ni mtazamo wako kwa upande mmoja, angalia na upande wa pili.

Ulichoandika ni kweli, lakini hawa wadada wana mapepo sio kidogo usipokaza buti.
Imani yako itakakuwa mashakani.

Inawezekana ila kuna gharama, tena gharama.

Ukute na ndugu zake wameshika uislam, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji380][emoji380]
 
Mimi ni mkristo ila nakubaliana na mtoa hoja kwa asilimia fulani, ukristo unaendana na mifumo ya mataifa ya magharibi ambapo suala la feminism limetamalaki!

Unamsikia baba mkwe amamwambia binti “akikunyanyasa urudi chumba chako kipo” hivi kwa akili ya kawaida unawezaje kutamka kauli kama hii!?
 
Mbaya zaidi unakuta anavigimbi halafu kitu black kama Jaluo
 
Uko sahihi. Sema tusio fungamana na upande wowote ule nadhani tuko kiafrika zaidi mkuu mie hata wanawake Mia naoa Ni juu yangu. Nyie Naona wenye ngozi ya nguruwe ndio wamekuja kuwapa standards za maisha kuwa yanatakiwa yawe hivi. Yaani kwao ndio si unit kila kitu mnaiga. Haya mmeshika dini wanawazidi akili ushoga Ni haki. Yaani mie Ni misimamo yangu ya kiafrika.wife anajua muda wowote naongeza mke hajanioa ,hatujaoana Kama ilivyo marry kwa English. Bali mie nimemuoa namlelea Kama mwanangu na simpi manyanyaso yyte. Sijategemea aje tusaidiane kimaisha Bali aje tuzae watu namie napenda niwe hata na kakijiji kangu sema bado napambana nahitaji niivunje rekodi ya Suleiman king
 

Umevurunda


Dini ya kikristo haina mafundisho mabaya

Watu wachache wenye mapokeo mabaya ndio wanaupa ukristo sifa mbaya

Anyway
Nafikiri kufundisha watu kuua ndio mafundisho mazuri [emoji3][emoji3]
 
Waislam wenzetu wanafundishwa maadili zaidi na namna ya kumcha mwenyezi Mungu na kuishi maisha yanayostahili..kwenye ukristo tuko busy kuombeana ufanikiwe, miujiza, unabii na umotivesheni speaker ndani yake .we are too much focus on personal rather than kujenga mtu aishije kwenye jamii...
 
Mimi ni msomaji mzuri wa vitabu vitakatifu vyote viwili yani biblia na Quran. Na katika usomaji wangu nilicho gundua Quran siyo tu kitabu kitakatifu bali ni kitabu kinachotoa muongozo kamili wa maisha ya mwanadamu ukilinganisha na biblia iliyo acha mambo mengi hewani. Na ndo maana utakuta kifungu kimoja cha kwenye biblia msabato anaki tafsiri tofauti na mlokole au mroma, kitu ambacho huwezi kukikuta kwenye Quran.

Ukisoma Quran vizuri licha ya kuandika mambo ya kiroho pia imeandika mambo mengi sana yanayo husu maisha ya kawaida mfano, Malezi, ndoa, Marathi n.k. Hivo basi ukiacha mitazamo ya udini ukarudi kwenye ukweli na uhalisia, Wanawake wa kiislamu wamelelewa na kuishi katika misingi ya maadili na heshima kuliko wanawake wa Christians, hasa katika mavazi (kujisitili), heshima kwa wanaume (ndoani), Usafi(Mavazi na mwili) na harakati (Most of Islamic women are not 50/50 followers).

Note: Bandiko hili lisichanganywe na akili za ufia dini, bali lichukuliwe kama hoja pambanishi kwa maisha ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…